Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
3,481
Reaction score
564
Dr. Slaa ameshawasili uwanja hivi jukwani yupo Silinde silinde; yote yanayofanyika ni kwa ajili ya kupigania haki za wananchi ccm wana macho kakini hawaoni

update
SUGU- Hakuna kitu wanacho kiogopa hawa ccm kama katiba mpya. Awali walidhani Walioba atawasaidia hakuna kitu anasema alikubaliana na wananchi kukomaa bungeni hawezi kukaa kimya pale masilahi ya taifa yanapotea

update
Sugu kuanzia leo anajitoa rasmi kuwa kwenye umoja wa wabunge wa Mbeya usiokuwa na maana kama ule wa wenzao wa mwanza au kilimanjaro wanaokutana na kujadili mambo ya maana

update
tangazo la mkurugezi Sugu kama mbunge hajashirikishwa anaungana na mkuu wa mkoa Kandoro kupinga hili tamko. vijana wameacha uhalifu sasa kwa hili litasababisa warejee huko tena

UPDATE
Dr. Slaa amesimama sasa, anawasimamisha Sugu na Silinde

anampongezea Sugu na Silinde kwa kutetea haki ya Watanzania bila kujali adha ambazo zingewata

leo dar wenyeviti wa CUF, NCCR CHADEMA
1. Wamelaani kitendo cha Job bungeni
2. Wamewapongeza wabunge wao kwa kitendo walicho kifanya bungeni
3. Wanamshauri rais asisaini mswada huo hadi utakaporejeswa bungeni

UPDATE
Miaka 7 iliyopita list of shame ilitajwa tarehe kama ya leo.

Watanzania wajiuliza wabeba madawa ya kulevya mbona hawakamatwi.

Nini kimetokea balozi wa China kusimama na kiongozi wa ccm jukwani

mkutano umefungwa rasmi tena kwa amani nzuri
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.
 
chezea viroba wewe...leo sio tar 19-9-2013
naona viroba vinatembezwa apo mkutanoni na pusha wenu anatembeza cha ukucha ili mtukane vizuri
 
Picha picha

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
tuna akili nzuri kamanda usiogope. Naomba mods wasaidie kurekebisha tarehe
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.
Picha hazifanyi mkutano ni wananchi wanaotakiwa pole kwa ulimbukeni wenu wa picha za kuunga unga za michuzi kwenye mikutano ya ccm
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.

Dada hamida, pls acha kuweweseka utakufa bure kwa presha.hebu tulia kama vile unakatwa nywele..tulia dawa ikuingie vizuri.
 
wabunge wa ccm wanawapinga sana wakiwa ndani ya bunge lakini nje wanapongeza sana

by Silinde
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.
HAMY-D hata kwa akili ndogo tu ya kimtazamo huwezi kuleta hoja kama hii kwani mbeya inaeleweka kuwa rais wao ni sugu na chama chao ni CHADEMA
 
Last edited by a moderator:
Mmekuja kumtetea huyo body guard wa Mbowe? Mbeya hawadanganyiki tena 2015, mbona Chunya Songwe mnaogopa? Mnaijua nguvu ya Mulugo that why?
 
wabunge wa ccm wanawapinga sana wakiwa ndani ya bunge lakini nje wanapongeza sana

by Silinde

Huwa wanatetea mkono kwa tumbo lakini moyoni wanajuta na kusaga meno wanavyowasaliti watanzania.
 
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE ndipo wanafanyia. But hata robo uwanja hawajajaza. Wanamsema Makinda mara Mwiguru. Lakni nashangaa wanasema elimu ya Makinda na Ndugai, lakni hawamsemi Sugu na Mnyika Elimu zao.
 
wabunge wa ccm wanawapinga sana wakiwa ndani ya bunge lakini nje wanapongeza sana

by Silinde

Silinde huyo huyo anaye shinda kutongoza wasichana wa shule? 2015 hana chake. Hivi Silinde mara ya mwisho aliongea lini BUNGENI? mimi nins muda sijamsikia, namsikia Zambi tu ndio anatetea wakulima wa Mbozi na sehemu zingine.
 
Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE ndipo wanafanyia. But hata robo uwanja hawajajaza. Wanamsema Makinda mara Mwiguru. Lakni nashangaa wanasema elimu ya Makinda na Ndugai, lakni hawamsemi Sugu na Mnyika Elimu zao.

Acha upashkuna na uzandiki!
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.
....

....Kwa jina la CHADEMA!!!!

...sisiemu toka!! toka!!! toka!!! toka!!! toka!!!!

...Umewafanya vijana kuwa omba omba na taaluma zao kupotea !!! Kila siku wao ni kuomba omba ...kila kukicha wao na Lumumba.....

....toka!! toka !! toka !!!! toka!!!

....hata ukikimbilia kwenye noah ....noah nao watakufukuza!!!!
 
Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE ndipo wanafanyia. But hata robo uwanja hawajajaza. Wanamsema Makinda mara Mwiguru. Lakni nashangaa wanasema elimu ya Makinda na Ndugai, lakni hawamsemi Sugu na Mnyika Elimu zao.
acha uongo hakuna aliye mtaja Mwigulu hapa nipo uwanjani
 
Back
Top Bottom