fered mbataa
JF-Expert Member
- Feb 19, 2012
- 240
- 35
ujinga mtupu kwa CCM
wanashindwa kushughulikia matatizo ya wananchi watumia pesa nyingi kuhadaa wananchi
hao waliohudhuria walikuwa na matarijio ya kupewa chakula na nauli.
nashangaa tu anaejiita mwanaCCM bila kujaua wanaowahutubia na kuwahadaa
ndio hao haowanaouza rasilimali zetu kwa wageni huku wakilimiliki majengo na mgarari ya kifahari.
amkeni watanzania mtajikuta mnuzwa ninyi na watoto wenu.
Walishaona Thamani yenu ubwawa wewe unataka kipi kingine! Watanzania wengi hatueleweki wala hatuaminiki! leo chadema kesho ccm tatizo kubwa elimu halafu hatujitambui! hatuji matatizo yetu chanzo chake nini na nani kayaleta ndio maana mtu akipewa bakuli la ubwabwa mbichi anakula na kurudisha kadi kesho wakija chadema anarudisha kadi anachukua nyingine!!!View attachment 55925ccm imeshindwa kuadress matatizo muhimu badala yake mnatumia kodi zetu kulisha watu ubwabwa hapo jangwani.
ujinga mtupu kwa CCM
wanashindwa kushughulikia matatizo ya wananchi watumia pesa nyingi kuhadaa wananchi
hao waliohudhuria walikuwa na matarijio ya kupewa chakula na nauli.
nashangaa tu anaejiita mwanaCCM bila kujaua wanaowahutubia na kuwahadaa
ndio hao haowanaouza rasilimali zetu kwa wageni huku wakilimiliki majengo na mgarari ya kifahari.
amkeni watanzania mtajikuta mnuzwa ninyi na watoto wenu.
Mwenye kukufuru ni nani? sema wewe kama kweli umkweli wa nafsi yako.
Kumbe lengo lao ni kufuta ujio wala sikujibu tuhuma zinazowakabili za wananchi.Baada ya kuona mkutano wa CCM leo pale jangwani kusema kweli CCM wamefuta ujio wa CDM na kuiangusha Chadema kifudifudi.
Nilijua tu mbio za CDM (Makobe) zitafikia ukingoni mida si mrefu ,na kweli Chadema sasa wana wakati mgumu kuliko wakati wowote ule na wasipoangalia watachawanyika kuliko ya mbuzi.
Bado CUF ambayo iaonekana kama haipo ,imezama na inaiangalia hali ya kisiasa inavyokwenda wakisubiri kupiga kwa style ya Checkmate.
Nafikiri wapo njiani kutayarisha mkutano wa aina yake hapo hapo Jangwani.
Shauku niliyokuwanayo kabla ya mkutano sasa imetulizwa... Nape, you made my day...ngoja nikaikamilishekamilishe siku kwa kuangalia magoli ya Euro 2012...CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....!Nasubiri kwa hamu hicho watakachokisema kuhusu UAMSHO...!
na yeye afungue danguro la kula wajane basi kama ndio mifano yake hiyo