Anaekufuru ni kwa nani zaidi ya Mungu? unaweza kumkufuru binaadam mwenzio?
Uwe specific, ni Allah au Jehova (Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo)?
Anaekufuru ni kwa nani zaidi ya Mungu? unaweza kumkufuru binaadam mwenzio?
Tusubiri mkuu kina Wasira wanaweza kutoa sera nzuri leo za maendeleo ya Mtanzania.
Kila Chenye mwanzo .......maliziaKWISHA MAGAMBA..kama moja ya ngome zao ni daslam halafu bado wanavurunda kibarua chao kigumu sana 2015
Kama nilivyowaambia kabla ya mkutano huu, kuwa huu ni mwanzo. CCM watakenda wilaya zote za Tanzania nzima, kuanzia za Dar kuelekea kusini kwenda kuzima uongo unaoenezwa na chadema. Eti wanawaambia watu "wachukieni CCM". mijitu mingine bwana haina hata maana.
watu walikuwa wengi mara 3 zaidi ya mkutano wa chadema
hii 26,000 umechanganya ni idadi ya kura za Nassari Joshua alizopata..
Hivi wabongo mna matatizo gani? Mnasubiri Yesu au Mohammad aje awatangazie ukombozi? Pale Jangwani palikuwa na watu 3000 kweli? Mbona mnapenda kudanganywa?
Huwa anakubali lakini siyo direct...akiwa amevaa koti la udini yeye pamoja na wenzake wanatumia maneno kama hayo chini tofauti na akiwa amevaa koti la chama.RItz hata aambiwe nini yeye hakubali CCM ndio wametufikisha tulipo
naona atakuwa na hisa CCM ndio wanaompa ulaji
jiangalie kama mali ulizo nazo umezipata kihalali?
kama sio laana ya watanzania iko juu yako.
mko madarakani kwa sababu ya rushwa
J Sister`s Rushwa - YouTube
Hilo neno "elimu" limetokea hukohuko.
Nyie wasomi wetu mlio hodhi madaraka na uongozi kwa asilimia 83 kwa zetu 17 katika nyanja zote kwa miaka yote hii mmefanya nini?
Nakuhakikishia hao 17 ni bora zaidi ki elimu kwani hawaja-bebwa na mtu. Kama unabisha tazama utendaji mbovu na madudu yanatokea wapi utakuta ni hukohuko kwenye 83.
Acha upotoshaji wakati mwingine si lazima sana kuchambua mambo ya CCM, ambayo ni dhahiri yapo nje ya uwezo wako, ukweli ni kwamba umeupindisha ukweli na umepotosha kwa kiasi kikubwa yale yaliyozungumza kwenye Mkutano wa leo.
Kwisha kazi magamba