Mkuu hebu kua serious hili jambo ni kweli au?breaking newzz!
yule mgombea aliepigwa na mh ndugai afariki dunia mda mfupi uliopita. akizunguzia tukio hilo mganga mfawidhi wa hospital ya mkoa dodoma Dr.kyeche amesema marehem amepata tatizo LA brain concasion baada ya kupigwa na kitu kizito hivyo kusababisha dam kuvilia kwenye ubongo.
Gobachev aliiua USSR na anadunda na maisha itakuwa kuliuua li CCM!sasa si wangetoa press release tu kwa nini kusumbua watu, laana ya CCM kwa JK haitokaa ifutike chama kinatoa machozi kwa kuendekeza hila za JK na Nappe
Sasa mbwembwe zilikuwa za nini kumbe mkutano wenyewe ulikuwa wa kakatibu ka mkoa, aha acheni hizo na muwe wakweli, hapa hakuna visingizio kwani siasa ni ushabiki, bila ushabiki hakuna siasa. Siasa ni uchaguzi pasipo ushabiki hakuna uchaguzi.
Mkuu usiandike kishabiki, walisema wanamkutano na Waandishi wa habari hakuna sehemu waliyosema watamjibu Lowassa. Hicho walichoongea ndio kilichopangwa, usiwaze kushabiki twende haki tu kwa hoja, mimi nilikuwepo hapo.
bibi upo?
Tafadhali tupeni kinachojiri huko!
Mkuu usiandike kishabiki, walisema wanamkutano na Waandishi wa habari hakuna sehemu waliyosema watamjibu Lowassa. Hicho walichoongea ndio kilichopangwa, usiwaze kushabiki twende haki tu kwa hoja, mimi nilikuwepo hapo.
Mkuu kivuli hakikimbiwi!
Fisadi mwizi mkubwa lowassa
CCM nyang'anyang'a, ndembendembe! Uwiiiiiii