Madereva hoyeeee!.hiyo ilikuwa ni salamu ya kamanda Kova kwa madereva
kwakweli umeutendea huu uzi haki yake mamito
pole kwa usumbufu uliopata mumie.
Hope umerudi salama nyumban
Hakika jana peoples power ilionyesha uwezo wake dhidi ya utawala wa wa kisanii wa maccm.
Naamini kabisa kuanzia sasa ccm itakuwa na woga mkubwa sana na nguvu ya umma ya namna hii kwani inaweza ikajikuta inaondoka, na yule mjamaa wao akatorokea mlango wa baharini.
Hivyo ni muhimu sana kwa utawala wa ccm kuachana na usanii na kila mara kuwaweka wananch wake majaribuni.
hahaa kwanini wasema hivyo...?
anyway nilirudi nyumbani salama kabisa.....
Aisee, sisi baba wenye nyumba tunawapa salute wababa Wenye magari....
Hakuna Baba Mwenye Gari, kuna Baba mwenye Nyumba tu....!''
Usifikiri hao ni CHADEMAHakika jana peoples power ilionyesha uwezo wake dhidi ya utawala wa wa kisanii wa maccm.
Naamini kabisa kuanzia sasa ccm itakuwa na woga mkubwa sana na nguvu ya umma ya namna hii kwani inaweza ikajikuta inaondoka, na yule mjamaa wao akatorokea mlango wa baharini.
Hivyo ni muhimu sana kwa utawala wa ccm kuachana na usanii na kila mara kuwaweka wananch wake majaribuni.
nimetizama toka asbh maskin uko mbez nikasema daaah atapata shida sana.
Mie natokea niliona hali apo stand so nilifeel ulichokuwa unakisema
week end njema na salam sana kwa watoto
Sababu zinaeleweka mkuu. Ni agizo la kijinga sana kuwahi kutolewa na serikali. Wewe mtu kaenda chuo kasoma na kafuzu ukampa leseni halafu baada ya miaka mitau anapotaka kurenew leseni yake eti akasome tena yale yale aliyosoma na kufaulu kwa ada mpya! Mimi naona serikali ingeeleweka kama mathalani mtu alisoma na kupata daraja E sasa anataka C hapo akiambiwa akasome ili kupata hiyo C ni sawa. Lakini mtu anaambiwa akasome tena kile kile alichosoma na kufaulu na tayari anauzoefu nacho kikazi. Kusoma kuwe ni kwaajili ya kupandisha daraja. Hata katika fani nyingine mfano mtu akisomea diploma mathalani ya ualimu anaweza kwenda kusoma ili kupata shahada ya ualimu lakini sio kwenda kusoma ili kupata diploma ambayo tayari anayo
Sijui nao wa mikoani wamegoma leo noma sana huku moro nimeotoa ka haisi kamoja jamaa anapigwa madongo katui
anafuata maji mengi hapendi kuangukiwa na matone ya mvua