Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,366
- 19,571
Oyooooooooooo raha tupu leo WasemeWatu weweeeeee... Wapi ladies wa ukweli Nifah na Bantu lady??????? Oyooooo
ny'ama kapakatwaHahahaah nami nimeshangaa.
Nashukuru sana mkuu nasubiri watu wapungue mtaani ndio nianze kurejea home
Pole my kaka Katavi ila niliyajua mapema, nikawaacha tu mje muumie mwishoni...Asante sana mtani.
mara ya pili ny'ama anapakatwa mfululizoHakuna kitu kinauma kama Kufungwa na YANGA hata
Hata LOWASA alivyokatwa haikuniuma hivi.....week nzima nazima simu
Magufuli tumbua jipu jipya watz wahamie huko waache kuongelea hili
Eboooh
kazi tumeimalizaaa....Umeona eeh?
Tayari tumeshaanza kuunyoosha mkia,bado kuwagaragaza tu.
Hahahaah kijana hongerenimara ya pili ny'ama anapakatwa mfululizo
Hahahaah pole sana mkuuHakuna kitu kinauma kama Kufungwa na YANGA hata
Hata LOWASA alivyokatwa haikuniuma hivi.....week nzima nazima simu
Magufuli tumbua jipu jipya watz wahamie huko waache kuongelea hili
Eboooh
aminaHahahaah kijana hongereni
Imekuwa siriaz kwa kuwa litimu halitaki kusajili wachezaji wa maana.Ikiona Yanga wamechukua wachezaji Zimbabwe na yenyewe inaenda hukohuko.Kuna striker gani msimbazi wa kuiogofya timu pinzani?Kama wewe ni mmoja ya viongizi msimbazi kaa ukijua mnaboa na mnakera.Ishu Imekuwa siriaz
Mechi ya Simba na Yanga ni mechi kubwa haitakiwi kuchezeshwa na wauza papuchi wa TMK SUDANI...
Unajua Yanga wamezoea kufungwa na Simba sasa badala ya kuangalia mechi wao wanafunga macho kwa woga...Sasa wakisikia gooo basi wanazimia kwa mshituko wakidhani wefungwa wao .Hahahaah nami nimeshangaa.
We Mhaya hiyo ni furaha.Yanga wana matatizo sana yani wao ndio wanashinda na wao ndio wazimiaji wakuu...