Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Hahahahaaaa na unyimwe tu maana hakuna namna.
Na kama umevaa minguo yako mekundu hata mchepuko hupati,wadada tunapenda wanaume wanaoishabikia Yanga.
Hahahaah akipita pale sugar ray atapata tu mchepuko
 
[quote uid=353840 name="MAFIE JR" post=15373772]Wakuu: Ni hakika kabisa leo unyumba sipewi maana tangu asubuhi naangaika na hii simba....Nitafutiwe mchepuko aisee[/QUOTE]<br />Hahahahaaaa na unyimwe tu maana hakuna namna.<br />Na kama umevaa minguo yako mekundu hata mchepuko hupati,wadada tunapenda wanaume wanaoishabikia Yanga.

Niffah hata wewe wakunifanyia hivo....nipe moyo bhana....leo najua kabisa nalazwa doro
 
Tanzania mpira bado sana-sasa hawa viongozi kama Poppe wanatoka vipi uwanjani mpira haujakwisha?
 
Refa wa yanga si alikuwa ndani ya uwanja, au na yeye alitoka ?
Kumbuka ni refa huyu pia alimpa red card Kelvin Yondan siku ya mechi ya Mtani Jembe....Mkashinda..

Sasa sijui alikuwa wa Simba siku hiyo..

Kubalini kushindwa tu mtani
 
Nyie vipaka vizi muwe na uzalendo na kitimu chenu, mnatokaje nje ya uwanja, wakati wacheza mchangani wenu wakiendelea kusulubiwa?
Mnajijua eeehhh.
Leo mji kimyaaaaaaaaaa
 
Kumbuka ni refa huyu pia alimpa red card Kelvin Yondan siku ya mechi ya Mtani Jembe....Mkashinda..

Sasa sijui alikuwa wa Simba siku hiyo..

Kubalini kushindwa tu mtani
Ok, ndiyo mpira. Hongereni, lakini ubingwa bado ...
 
Muanzisha Uzi amegoma kutupa updates. Kumbe Na yeye ni mikia!!!!
silipwi na mtu

Ha ha ha ha ha! nilitoa tahadhari mapema kabisa na sasa yametimia. Inabidi tu simba ijipange kwa ushindi msimu ujao.

Haya mambo ni ya kawaida sana kwenye mpira wa simba na yanga. Miaka ya 2000 yanga alikua anaitwa mteja wa simba! ilikua ni aibu tupu! nilijaribu pia kuhamia simba nikashindwa na niliishia tu kusikilizia maumivu.
 
Back
Top Bottom