Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Hakuna kitu kinauma kama Kufungwa na YANGA hata

Hata LOWASA alivyokatwa haikuniuma hivi.....week nzima nazima simu

Magufuli tumbua jipu jipya watz wahamie huko waache kuongelea hili

Eboooh
 
Hakuna kitu kinauma kama Kufungwa na YANGA hata

Hata LOWASA alivyokatwa haikuniuma hivi.....week nzima nazima simu

Magufuli tumbua jipu jipya watz wahamie huko waache kuongelea hili

Eboooh
Hahahaah pole sana mkuu
 
Ishu Imekuwa siriaz
Imekuwa siriaz kwa kuwa litimu halitaki kusajili wachezaji wa maana.Ikiona Yanga wamechukua wachezaji Zimbabwe na yenyewe inaenda hukohuko.Kuna striker gani msimbazi wa kuiogofya timu pinzani?Kama wewe ni mmoja ya viongizi msimbazi kaa ukijua mnaboa na mnakera.
 
Yanga rahaaaaa!!! kampa kampa tena..japo wanadai msemo wao lakini kikubwa zaidi mnyama kaukalia mara mbili...hahahahaaaa
 
Mechi ya Simba na Yanga ni mechi kubwa haitakiwi kuchezeshwa na wauza papuchi wa TMK SUDANI...

Stress za kupigwa mabao halafu mawili uku yakikupa wasiwasi wa kupatwa na mimba lazima uropoke ujinga
 
1455982129365.jpg


Ukiona Manyoya tu ujue mnyama kauliwa
 
Wa kimataifa Mbele (Yanga) daima nyuma achia wa mchangani (Mbumbumbu FC)
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom