Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Kumbuka ni refa huyu pia alimpa red card Kelvin Yondan siku ya mechi ya Mtani Jembe....Mkashinda..

Sasa sijui alikuwa wa Simba siku hiyo..

Kubalini kushindwa tu mtani

Ndio mpira wa Africa. Ukifungwa refa wao. Ukishinda unasema wajua mpira.

Naye huyo Mayanja sijui alikuwa anapayuka yeye au alikuwa anawekewa maneno kinywani na waandishi wa habari, maana hayakuwa maneno ya heshima kwa timu pinzani.
 
Mkia kushney
 

Attachments

  • 1455980384465.jpg
    1455980384465.jpg
    22 KB · Views: 19
Yanga wana matatizo sana yani wao ndio wanashinda na wao ndio wazimiaji wakuu...
 
Take it easy Mkuu Katavi.

Huu nimchezo tu ...Tembea kifua mbele na mavazi yako mekundu...mbona ndio mchezo. Akikucheka yeyote nawewe unacheka mnafrahi mwishowe unafika home powaa kabisa.
Nashukuru sana mkuu nasubiri watu wapungue mtaani ndio nianze kurejea home
 
Back
Top Bottom