Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

Sioni jinsi ccm itakavyopona hapo 2015! Ccm ni chama kisichokua bali kudhoofika tena kwa kasi kubwa,naifananisha na mlevi anayeenda mbele hatua 5 na kurudi nyuma hatua 15
 
Fanyeni kama walivyofanya KYELA kitongoji cha MWAKYEMBE baada kuwa kura kugongana kwa m/kiti wa kitongoji hicho,uchaguzi wa marudio uliofanyija juzi kura zote za mgombea wa CCM zimeenda CDM na hivyo matokeo kuwa:
CCM=2
CMD=190

Hii tamu..
 
Kwa hayo umekubali kuwa ni ukweli. Sasa msilalamike kama hamna maofisi.

samahani uwa sitaki kuchangia point zako ata siku moja maana sijawahi kuona ukiongelea ukweli na kusimamamia haki na uislam sifa ya kwanza ni haki na usawa sasa nafikiri iyo picha apo ni picha tu sio foxy mwenyewe maana hata kama ni kutetea chama chako lazima usimamie ukweli daima sio kwa ajili ya wanadamu bali kwa mungu ulinayemwabudu usihishi kama duniani ni nyumbani apa tunapita siku moja ukilizwa swali na mungu, uliwasaidia je wanyonge majibu sijui kama unayo maana unafikiri ccm itakupeleka mbinguni unajidanganya haki usawa kupenda watu kuchukia dhuluma kukemea maovu ayo ndo yatakayo fungua mbingu yako.watch your step mama.
 
Wacha porojo.

Viongozi wako wanawasaidia wanyonge kwa kujenga nyumba za mahawara zao kwa ruzuku?
Fikiri.
 
Tunaomba matokeo ya wilaya mpya ya Kaliua.

Kiongozi kwa habari za uhakika mpaka saa 7 leo ukawa wana vitongoji 7 na ccm viwili hii ni bila matokeo ya Usinge bado yana utata hayajatangazwa bado na Ucnge kama mnavyofahamu ni ngome cuf na chadema kw Sakaya na habari za uhakika Ulinduanoni nyumbani kwa Kapuya Chadema walitangazwa mshindi toka jana jioni ck ya uchaguzi
 
Safi sana kamanda. Fuatilia na huko usinge nk
 
Kijiji cha Mkuranga mjini chadema chaibuka kidedea na washirika Wa UKAWA wachukua vitongoji vyote, kijiji cha chamgohi kata ya mbaya chadema yaibuka kidedea. Vijiji ambavyo CCM hawajapata mjumbe wala kitongoji ni Mkuranga, Vikindu, mwandege, yavayava kote huku Mkuranga
Sema Haki ya Mzungu...Yaani Mkuranga watu wamebadilika kiasi hiki?
 
Mtu anaesema familia ya Raisi isiwepo Ikulu, huyo ndiyo umemuona ana staha?

Kama hataki ikae Ikulu anataka ikakae kwake? simpo.

Nakuuliza leo ulienda kazini au bado unashinda humu na vijana kutukanana? Kama wewe hufanyi kazi unategemea nani ajenge nchi? Hivi unadhani kwa umri ulionao na sahihi kuendelea kuwa kishoka wa siasa. Heshima ya mtu ni kazi. Sisi watu wazima wenzio ndio tunarejea manyumbani baada ya kulitendea haki taifa hili. Wewe dada yetu huoni aibu kushinda humu jukwaani?
 
Wacha porojo.

Viongozi wako wanawasaidia wanyonge kwa kujenga nyumba za mahawara zao kwa ruzuku?
mdbona unongea sana mama!

Matokeo zaidi ni hayo:

HUKO SUMBAWANGA MJINI MAMBO YAPO HIVI kata ya CHANJI/MSUA NA KIZWITE hazijafanya uchaguzi baada ya kuchoma ofisi ya kata ambamo nyaraka za majina ya wapiga kura zilikuwa zimehifadhiwa. watapiga kura itakapotangazwa wakati mwingine. kata zilizofanya uchaguzi jana ni sUMBAWANGA WENYEJI AMBAPO cdm mitaa 17 ccm 6 Kata ya Retco ccm 0 cdm 7 mafulala cdm 10 ccm 2 hizo ni baadhi ya kata za mjini Sumbawanga
 
Back
Top Bottom