Mkuu ungeona jinsi alivyo letwa pale mahakamani ungeshanga sijawahi kuona hata wale wa Rwanda huwa siyo hivyo....
Wana JF,
Kweli Mtu kama mbowe analindwa utadhani ni mfungwa as if amefanya au kashiliki president assassination, Ulizi ulio tolewa kwa mbowe ingekua ni bora wakatulindie mali za nchi yetu kutorosha nje kama Magogo, Mchanga wa dhahabu ,Almasi na vinginevyo.
Serikali imeingia gharama ya juuu kweli me nisha waambia serikali ya JMK inatengeneza a Time BOOM nali limekaribia kufika
Basi haijakusaidia kabisa.Niliisha fanya hivyo mbona
Kwani ni mmoja tu leo zilikuwa nyingi sana kila polisi wawili moja anabunduki na walikuwa zaidi ya 70....Hiyo picha ya kwanza kuna jamaa anamsindikiza Mbowe na machine gun hii inaonyesha nini? Polisi hawajui kutofautisha aina ya washtakiwa ndio maana wanaishia kuwa wauaji. Mtuhumiwa kama Mbowe na kosa linalompeleka Mahakamani bunduki ilikuwa ya haja gani? Elimu bado inahitajika sana kwa jeshi letu la Polisi.
kwani hawezi kupelekwa kwa gari hiyo? Tupe ushahidi kwamba mbowe kasafirishwa kwa gari la kifahari? Kwani ni rais wa nchi?
Duhu. Kama vile waasi wa angola
Baada ya kutoka kwenye gari walilomleta nalo hawakumzuia kusalimiana na wana-CDM...maana mahakama ililipuka PeoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzKwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.
Kwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.
Mwabie aangalie Channel Ten naamini watakuwa wanapicha zuri sana maana mimi mda mwingi simu niliyokuwa nachukulia picha ndiyo niliyokuwa natumia kubrowse.....halafu ili kuchukua picha nzuri ilitakiwa kupanda kwenye magari hasa ya polisi hivyo waliyofanya hivyo ni waandishi wa habari hasa wa TBC....Mwanzoni MS alisema yafuatayo kabla ya picha kulettwa
Baadaye picha zikaja, na mojawapo ni hii hapa;
Baada ya kuona ukweli wenyewe, MS akaishiwa hoja na kuandika yafuatayo;
Sasa basi ni dhahiri kwamba MS anastahili kuendelea kupewa BAN pasipo huruma kwani matendo yake yanamhukumu yenyewe! Nawasilisha!