Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

hahahaha..da hizi hela hadi raha..ila mashangingi wanajua kupenda...wifey materials wajifunze kitu..
 
Ruge ni NOUMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!
 
Kama unaweza kuongea na msanii Vumilia aliejitoa THT ndiyo atakupa story zaidi na sababu yake kujitoa THT, jamaa ili upate ufadhiri wake lazima akuonje! Kama ni mwanaume uwe na talent kweli.
Ivi ilikuaje yule demu akajitoa na akapotea kabisa...alikua na talent ya ajabu...tatizo umaskini
 
Mjanja alikuwa Finna Mango tu! Aliishi na Ruge nyumba moja muda mrefu na hakuzaa nae.
Kipindi kile kile alikuwa anatoka na Ray c na Lady jay Dee.
Finna akaona hakuna bwana hapa zaidi ya kusogeza siku,
Na hata jibu birthday wishes hata moja.
Hana kanuni muda wowote sehemu yoyote anaweza kuanzisha uhusiano.
Aisee..[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom