Waendelee na mazoezi tumesogeza mbele. Teh teh tehyaan nyie mmewafanyisha wenzenu mazoez wiki nzima juani halafu mnasema hamuandamani!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yani huu mchezo hutakiwi kupanic ni kama mmetangulizwa stendi na mabegi halafu nauli tumewashikia round ya kwanza mmeshacheua masalia ya jana tunasubiri round ya pili mtapike kabisaMnatishia kujamba wakati mnaharisha......andamaneni sasa muone!!! Mmebadili gia ardhini sasa
Nimemuelewa Mbowe anapigana kisayansi. Ukitaka kushinda hii vita usitumie nguvu tumia akili.wacha Polisi waendelee na mazoezi na tarehe 1 Oct jwtz wafanye tena usafi.Mbowe, mbowe, wapigania demokrasia hawaogopi madege ya vita, vifaru simbuse bunduki na virungu vya polisi?
"Hajabu Hajabu" =????Tehehehhehe a great thinker.
5. UKUTA umepelekea Askari polisi wamefanya mazoezi ya kupambama na wahalifu mpaka "wamefyatuana" wenyewe kwa wenyewe huku raia wawili wakiishia kujeruhiwa.
6. UKUTA, umepelekea kuvumbuliwa kwa Umoja wa Kumpongeza Magufuli (UKUMA), ambao ukikosa mashiko ghafla.
7. UKUTA, umepelekea Rais kutoa matamko matamko ya hajabu hajabu, mfn "... sijaribiwi"
Mmeshikwa panapouma Breki imepigwa angani afu tunawasha tena..hapa umetapika ya rohoniKatika taarifa yake kwa vyombo vya MBOWE amesema wameahirisha UKUTA kwa sababu wameombwa na viongozi wa dini kusubiri kwa wiki mbili au tatu ili wakutane na rais.
Huu ni uongo mkubwa sana wa Mbowe. Awaambie wanachama wake ukweli kwamba hawakuwa na hoja ya msingi ya kuandamana na kwa maana hiyo adhabu yoyote ambayo wangekabiliana nayo ingekuwa ni halali yao.
Uongo wake mwingine kwenye taarifa yake ni ile aliyosema "AGENDA YA UKUTA HAIKUWA YA CHADEMA PEKE YAKE" eti anasema Chadema wameungwa mkono na wadau mbalimbali waliowaomba kuungana nao na wamesema wameona mantiki ya CHADEMA kufanya operation UKUTA , kwamba wadau hao ambao amsema hawataki kuwataja, wamewaomba wakubali kuahirisha operesheni UKUTA. Huu ni uongo mkubwa.
Kuhusu Wabunge wa UKAWA kurudi Bungeni, ETI MBOWE anasema wamepokea kwa moyo mmoja maombi ya viongozi wa dini na Wabunge wao watarudi Bungeni. Juzi redio Clouds wamempigia simu Mbowe kutaka kujua msimamo wa CHADEMA kuhusiana na kauli ya James Mbatia kuwa wabunge wa UKAWA watarudi Bungeni, Mbowe alisema, HIZO NI HISIA ZAKE JAMES MBATIA. Leo anasema wamepokea kwa moyo mmoja.
mtazamo: Hawa Viongozi wa upinzani wanataka kuwafanya wafuasi wao mazuzu kupitia mgongo wa viongozi wa dini. wanawafarakanisha wananchi na serikali huku wakijua mwisho wa siku watawadanganya kwamba wameshauriwa na viongozi wa dini.
LEO Viongozi wa dini nao walipanga kutoa tamko lao kuhusu UKUTA na kwa sababu CHADEMA wana mashushushu yao huko wameambiwa wanakwenda kulaaniwa na UKUTA wao wameona wakimbie ku-pre empty kwamba wameombwa na viongozi wa dini. Laana hizi za kuwasingizia watumishi wa Mungu itawatafuna CHADEMA, waache tabia hii ya kuwasababishia usumbufu usio wa lazima watanzania kwa sababu tu ya kutafuta umaarufu wa kijinga kabisa.