Teh the punguza jazba bado kuna mwezi mmoja mbele wa kufanya maonesho ya usafi na kufanya mazoezi ya viungo. Chadema itawahangaisha sana miaka hii mitano mkija kushtuka hakuna hata kiwanda cha kutengeneza dawa ya mbu kilichojengwa.Big up gani sasa. Kwa kuufyata?
Na October chenga la mwili tena, inapigwa kalenda! mkuu atasema amezuia siasa kumbe ndo zinafanyika kihivyo! kama we ni intellligent utaelewa kuwa siasa inaendelea kama kawa! by the way badilisha hiyo ID yako nilifikiri TCRA ndo wameniquotetunawasubiri Oktoba mosi.
hiyo ndo promo sasaUKUTA Fallen
Bora hii kitu imepita tuendelee na mambo mengine naamini hata wakileta Mara nyingine hawawezi kufanikiwa ,