Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

Kwa style hii itafikia siasa za aina hii kupuuziwa na dola.

Kuja kushtukia watu wameshajaa mabarabarani.

Na hapo ndipo upinzani ku-take advantage ya kuandamana.
 
Waliosoma alama za Nyakai kwa Chadema ni Zitto kabwe tu
Maana ni kijana na bado alitaka kuonyesha uwezo wake wa kuhudumia wananchi wake.

Ila awe makini saana,maana jimbo analoongoza nalijua vizuri,hawaangalii chama wale,wanaangalia umefanya nini kwao,na ndio maana mabadiliko kwao ni kawaida saana

Sasa kina Mnyika na Halima mdee,lazima wasome aalama za nyakati,hii hali wao kama vijana sio nzuri kabisaa,haya mambo ya kuburuzwa nayo ni taabu sana

Na ndio maana hata Magdalena Sakaya kaona hili kaona bora CUF wafanye wajuavyo ila asimamie ukweli,na alivyo ni kwamba akigombea chama chochote atapenya tu kwa jimbo lake.
 
Wamebana wameachia, imebaki sizitaki mbichi hizi. Mpira wa makaratasi kama timu pinzani wamevaa viatu, wanatoa timu.
 
Mbowe, mbowe, wapigania demokrasia hawaogopi madege ya vita, vifaru simbuse bunduki na virungu vya polisi?
 
Hahaha poleni sana Chadema, huyo ndio Mbowe mtoto wa mjini.. Eti viongozi wa dini wakaongee na Magufuli wakaongee nae nini sasa?
 
UKUTA Fallen
wall.jpg
 
Ukawa ni wataalam wa visingizio duniani, hapo wameona ukuta umedoda wamepata sababu ya kupiga kalenda, na wataendelea hivyo mpaka 2020, hii sasa ndio imebakia mbinu ya Ukawa kubaki kwenye media. Bila hivyo Magufuli alikua amewaziba pumzi.
 
Mnatishia kujamba wakati mnaharisha......andamaneni sasa muone!!! Mmebadili gia ardhini sasa
Yani huu mchezo hutakiwi kupanic ni kama mmetangulizwa stendi na mabegi halafu nauli tumewashikia round ya kwanza mmeshacheua masalia ya jana tunasubiri round ya pili mtapike kabisa
 
Mbowe, mbowe, wapigania demokrasia hawaogopi madege ya vita, vifaru simbuse bunduki na virungu vya polisi?
Nimemuelewa Mbowe anapigana kisayansi. Ukitaka kushinda hii vita usitumie nguvu tumia akili.wacha Polisi waendelee na mazoezi na tarehe 1 Oct jwtz wafanye tena usafi.
 
Tehehehhehe a great thinker.
5. UKUTA umepelekea Askari polisi wamefanya mazoezi ya kupambama na wahalifu mpaka "wamefyatuana" wenyewe kwa wenyewe huku raia wawili wakiishia kujeruhiwa.
6. UKUTA, umepelekea kuvumbuliwa kwa Umoja wa Kumpongeza Magufuli (UKUMA), ambao ukikosa mashiko ghafla.
7. UKUTA, umepelekea Rais kutoa matamko matamko ya hajabu hajabu, mfn "... sijaribiwi"
"Hajabu Hajabu" =????
 
Ukisia mtu anapiga kelele mshikeni huyo mi ntamuua au bahati wee wameamamilia, basi kama mtu mzima tia akili kichwani
 
Katika taarifa yake kwa vyombo vya MBOWE amesema wameahirisha UKUTA kwa sababu wameombwa na viongozi wa dini kusubiri kwa wiki mbili au tatu ili wakutane na rais.
Huu ni uongo mkubwa sana wa Mbowe. Awaambie wanachama wake ukweli kwamba hawakuwa na hoja ya msingi ya kuandamana na kwa maana hiyo adhabu yoyote ambayo wangekabiliana nayo ingekuwa ni halali yao.
Uongo wake mwingine kwenye taarifa yake ni ile aliyosema "AGENDA YA UKUTA HAIKUWA YA CHADEMA PEKE YAKE" eti anasema Chadema wameungwa mkono na wadau mbalimbali waliowaomba kuungana nao na wamesema wameona mantiki ya CHADEMA kufanya operation UKUTA , kwamba wadau hao ambao amsema hawataki kuwataja, wamewaomba wakubali kuahirisha operesheni UKUTA. Huu ni uongo mkubwa.

Kuhusu Wabunge wa UKAWA kurudi Bungeni, ETI MBOWE anasema wamepokea kwa moyo mmoja maombi ya viongozi wa dini na Wabunge wao watarudi Bungeni. Juzi redio Clouds wamempigia simu Mbowe kutaka kujua msimamo wa CHADEMA kuhusiana na kauli ya James Mbatia kuwa wabunge wa UKAWA watarudi Bungeni, Mbowe alisema, HIZO NI HISIA ZAKE JAMES MBATIA. Leo anasema wamepokea kwa moyo mmoja.
mtazamo: Hawa Viongozi wa upinzani wanataka kuwafanya wafuasi wao mazuzu kupitia mgongo wa viongozi wa dini. wanawafarakanisha wananchi na serikali huku wakijua mwisho wa siku watawadanganya kwamba wameshauriwa na viongozi wa dini.

LEO Viongozi wa dini nao walipanga kutoa tamko lao kuhusu UKUTA na kwa sababu CHADEMA wana mashushushu yao huko wameambiwa wanakwenda kulaaniwa na UKUTA wao wameona wakimbie ku-pre empty kwamba wameombwa na viongozi wa dini. Laana hizi za kuwasingizia watumishi wa Mungu itawatafuna CHADEMA, waache tabia hii ya kuwasababishia usumbufu usio wa lazima watanzania kwa sababu tu ya kutafuta umaarufu wa kijinga kabisa.
Mmeshikwa panapouma Breki imepigwa angani afu tunawasha tena..hapa umetapika ya rohoni
 
habari huru mkuu vipi UKUTA? Mbona leo hujaleta habari kamanda au umetumia jina jingine?

MOTOCHINI jamaa zako hawa vipi mbona wanaahirisha UKUTA?
Ritz ona nyumbu wako hawa wakiambiwa wanatunisha misuli
Pasco jana mlikuwa na kikao cha Kamati Kuu ukaamua kuleta habari za maamuzi ya kikao hicho! Hongera sana kwa kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom