Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

Kesho kweli ni Siku ya kupatwa kwa jua,au Mungu ameahilisha?.
Naomba jibu,nisije poteza muda na nauri.
 
Nilisema hamna ukuta tar 1sept mkabisha. Haya hiyo 1oct hakuna ukuta. Endeleeni kubisha.
 
Nliahid mods wanipe ban ya mwezi kama watu wangeandamana kesho....mm mshindi
 
Mtu mmoja anacheza na akilizi za Wana UKAWA woote
aiseee
Kwanza mfaham kabisa kwamba CCM walijua tu ngoma hii haikeshi,na ndio maana hata issue ya Dodoma jamaa walijifanya mbwembwe nyingii eti wanakwenda kuzuia mkutano,mwisho wa siku wakaachia pyuu.
Utasikia mara leo UKAWA inatoa tamko zito,halafu mwisho wa siku hakuna jipya ni yale yale ambgaayo tumeyoyazoea.
Sasa CHAGADEMA,imepoteza uelekeo,na kila wanachofanya ni kwamba CCM wanajua kabisaaa mwisho wake ni nini.Huruma ni kwa BAVOCHA tu wanaoburuzwa
Kuna msemo huku kwa Pwani unaosema kwamba "Nampenda anaekula na sio yule asiependa kula"
Sasa wamekimbilia viongozi wa Dini,hawakuliona hili kwa Dr.Slaa?
Je,viongozi wa dini CHAGADEMA wanawajua leo?

CCM focus 2020,acha watoto waendelee kucheza na akili za watu,na kwa jua la Dar naona wote vijana wa Chadema wanakuwa wazee kabla ya muda kwa kuchezewa huku wakiendelea kushika UKUTA mpaka October
1472644922532.jpg
 
Nini hiyo iliyopenya? Meseji.

Ya nani? Ya mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli.

Alisema nini? Alisema "mimi sijaribiwi na wala sitajaribiwa".

Alikuwa akiwaongelea akina nani? Wale wataoleta vurugu.

Na akachimba na biti kwamba wanaotaka maandamano watangulie wao wakione cha mtema kuni.

Hakika Ngosha hachezewi.

Sasa baada ya hii fyata ya leo, bado kuna anayeamini hiyo tarehe 1 Oktoba hayo maandamano yatafanyika?

Asilani abadani katani bilikuli.

 
Maskini mapato ambayo tungeyapata toka kwa watalii waliositisha kuja TZ wakihofia kinaweza kunuka wakati wowote.Next time hata jukwaa la kutangazia viukuta vyenu hamtapata.
 
Tatizo na Huruma kwa wana UKUTA. Ni kwamba
Mnasomeka kirahisi,yaani mnajitekenya wenyewe kisha mnakatika wenyewe.
Vitu vingi mmekuwa mnafanya ki Comedy saana,Dodoma mkashindwa,ambapo ndio tuliona tukio kuuubwa,hili tena UKUTA unaendelea kushikwa,ambapo watu walijua tu mtaachia,maana hakuna jippya.
Bunge lijalo,mnaingia wenyewee,na msipoingia ni kwamba CUF wanaingia,mtaumbuka.Na hapo mmestukia ndio maana mnakuwa wapoleeee.
Dr.Tulia yupo pale pale na msimamo ni ule uleeee,mwanzo mwenga.Tena huko ndio mnaenda kujimaliza kabisaa.
Kuandamana kwenye Fb,Twitter,jamii forumm ni rahisi saana,tena watu wengi kweli,ila kwenye road,mtatafuta watu kwa tochi,wakuwasukumiza mbele hakuna siku hizi,yalikuwa miaka ya 90s huko.
Zanzibar kuna watu vilema mpaka leo hakuna hata mpinzani mmoja anapita kwa kutoa angalua msaada kwa kujitoa kwenye chama,tehetehete,likikukuta ni wewe na kwa kwenu,watu wamesoma
Watu wanawaangalia tu
Wabunge wenzenu wapo Majimboni,nyie ni kuzururaa tuuuu
 
Back
Top Bottom