Wananchi wachachamaa, Wataka Maandamano ya Chadema yaendelee Nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,623
223,252
Taarifa mpya inaonyesha kwamba, Baada ya Maandamano ya Wiki nzima ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za uchaguzi, yaliyoandaliwa na Chadema kwenye baadhi ya maeneo kufanikiwa kwa 100%, Wananchi wa Maeneo ambayo Maandamano hayo hayakupita wamechachamaa wakitaka jambo hilo muhimu lifanyike haraka kwenye maeneo yao ili nao wapate Baraka za Mungu.

Pamoja na mambo mengine, Maandamano ya Chadema yamekuwa na Hotuba Kabambe za Viongozi wake kwenye mikutano ya hadhara, Hotuba ambazo zimefukua mambo mengi ya kichovu ambayo yameamsha ari ya wananchi kudai haki zao.

Hapa Chini Naambatanisha Sheria Mbovu kabisa za Uchaguzi wa Tanzania zinazopingwa na Wananchi na ambazo tayari zimesainiwa na Rais Samia Suluhu Hassan

Screenshot_2024-05-05-14-01-34-1.png
 
"Wananchi wamechachamaa"!!

Hivi kuchachamaa na kupandisha Mori ni kitu kile kile au Kuna tofauti?
 
Taarifa mpya inaonyesha kwamba, Baada ya Maandamano ya Wiki nzima ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za uchaguzi, yaliyoandaliwa na Chadema kwenye baadhi ya maeneo kufanikiwa kwa 100%, Wananchi wa Maeneo ambayo Maandamano hayo hayakupita wamechachamaa wakitaka jambo hilo muhimu lifanyike haraka kwenye maeneo yao ili nao wapate Baraka za Mungu.

Pamoja na mambo mengine, Maandamano ya Chadema yamekuwa na Hotuba Kabambe za Viongozi wake kwenye mikutano ya hadhara, Hotuba ambazo zimefukua mambo mengi ya kichovu ambayo yameamsha ari ya wananchi kudai haki zao.

Hapa Chini Naambatanisha Sheria Mbovu kabisa za Uchaguzi wa Tanzania zinazopingwa na Wananchi na ambazo tayari zimesainiwa na Rais Samia Suluhu Hassan

View attachment 2981369

Mwenezi Erythrocyte mbona huo mchachamao hauonekani dhahiri? Uko kwa wapi?
 
Acha urongo wewe. Hayo maamdamano wanachi wanayaona yanapoteza mda. Watu wako busy na mkate wao wa kila siku. Usituchulie poa sisi watanzania. Maandamano ni kujustify upigaji wa akina lisu pesa zinazotoka CDU kwamba zimefanya kazi
 
Kati ya wewe na Kinana nani zaidi?
 
Back
Top Bottom