Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

Ukimiliki watu waliolala wala hupati tabu nikuwageuzia maneno na wao watafurahi itakuwa point,ameogopa tulijua hilo!
 
Ukimiliki watu waliolala wala hupati tabu nikuwageuzia maneno na wao watafurahi itakuwa point,ameogopa tulijua hilo!
Hawajitambui, wanaojitambua wanajua nini wanahitaji, kila siku matamko yasiyo na Tija, waache vurugu tufanye kazi, Tumechelewa kwa sababu ya uvivu na siasa za majitaka.
 
maalim seif chukua hatua!! kaeni chini na profesa lipumba myamalize!! usimuendekeze lowasa kwa hakika huyo anakutumia tu kufanikisha yake
 
Back
Top Bottom