Kulingana na sheria zilizotungwa Uingereza, endapo mtu atajenga jengo na serikali itakuwa 'haijaliona' jengo hilo kwa muda wa kuanzia miaka minne na kuendelea, jengo hilo litakuwepo mahali hapo kihalali na kisheria.
Kwa hiyo, majengo yaliyokuwepo Kimara kwa zaidi ya miaka minne, yapo kihalali kulingana na sheria zilizotungwa Uingereza!
Hivyo serikali ya JMT inawajibika kulipa fidia ya
TSH 5m kwa jengo la chumba kimoja,
10m kwa chumba na sebule
15m kwa vyumba viwili na sebule
20m kwa vyumba vitatu na sebule
25m kwa vyumba zaidi ya vitatu na sebule
20m kwa ghorofa isiyozidi chumba kimoja na sebule
25m kwa ghorofa isiyo zidi vyumba viwili na sebule
50m kwa ghorofa isiyozidi vyumba vitatu na sebule na
100m kwa ghorofa inayozidi vyumba vitatu na sebule.
250m kwa nyumba ya ibada
500m kwa kituo cha mafuta
Hii ni haki ya wana Kimara wote walio vunjiwa nyumba zao kipindi cha bomoa bomoa na inapaswa 'walipwe fidia, mapema iwezekanavyo' hata kama serikali itakuwa imebakiwa na shilingi mia moja tu, kwenye mfuko mkuu.
View attachment 2295987View attachment 2295989