Yaliyojiri kesi ya ‘bomoa bomoa’ Kimara - Mbezi

Yaliyojiri kesi ya ‘bomoa bomoa’ Kimara - Mbezi

1. Mwanasheria mkuu wa serikali anasema anatambua watu 85 tu katika kumbukumbu ya Tanroad waliopewa notisi ya kubomoa majengo ndani ya hifadhi ya barabara.

2. Mwanasheria mkuu anadai Zoezi la ubomoaji lilifanywa na wananchi kwa hiari yao wenyewe na Tanroads haikuhusika na ubomoaji huo.

MASWALI
1. Meneja wa Tanroad bw Ndyamukama alipata wapi nguvu ya kutoa amri ya kuvunja nyumba zote ambazo wakati wanajua hawakutoa notisi kwa watu wote?

2. Yale matingatinga ya Tanroads ushahidi wa video na picha upo, yalikuwa yanavunja nyumba za wakazi gani?

3. Kwanini Tanroads haikuzingatia zuio la kuvunja nyumba lilotolewa na Mahakama ya ardhi?

Kwa vyovyote vile kuna vigogo walihusika na issue ambao bado wanashika wadhifa serikalini na Tanroads wachukuliwe hatua kali wakati kesi inaendelea ili kuondoa tabia ya kufanya kazi kama maroboti wakati wameenda shule.
Nchi imejaa rushwa tupu
 
Halafu kuna kunguni humu ukimuongelea yule habith wanakwambia eti vibaya kumsema marehem

Sasa ukimuuluza ubaya wake nini hawana la kusema zaidi ya kutoa mimacho kama imekaangwa kwa karai

Anyways tumuombee Mungu azidi kuilaza roho ya marehem mahali pabaya motoni Amin !!!
Yule alikuwa zaidi ya shetani
 
Halafu kuna kunguni humu ukimuongelea yule habith wanakwambia eti vibaya kumsema marehem

Sasa ukimuuluza ubaya wake nini hawana la kusema zaidi ya kutoa mimacho kama imekaangwa kwa karai

Anyways tumuombee Mungu azidi kuilaza roho ya marehem mahali pabaya motoni Amin !!!
,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila kwa kwaeli watu waliumia sana, na wengi walikufa kwa pressure!!
 
Hawa watu niliwaambia wafanye valuation haraka wakae nazo. Hata picha tu za nyumba zao wakae nazo. Siku inakuja watatakiwa kulipwa hata miaka 50 ijayo. Wengi wakadharau. Haya wakisema walipwe watalipwa nini. Wachache waliokubali naona wanavyovuta mamilioni mia mbili kusonga mbele. Watanzania valuation, valuation, valuation.
 
Sasa kesi ikoa mahakamani hapohapo unataka watu wachukuliwe hatua, kwanini usisubiri hatma ya kesi then hatua zichukuliwe?
Wasubirie kesi, na watu wa Tanroads waendeleee na ujenzi wa barabara pia. Sio kuacha vile palipo lasivyo tutarudi tena kwy magofu yetu kujificha

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mangi Bana. Kwahiyo sheria ziwekwe kapuni? Mimi naijua hii ishu vizuri hapo Mahakamani JMT itashida na pale tulipigwa na waliowahi kulipwa fidia bahati nzuri yule jamaa alieniuzia alifariki 2005
Na wewe ulimtafuta mjinga ukampiga au ulijenga na kupangisha kurudisha pesa yako

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom