Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Aisee! Tuwe wakweli, endapo atapita Magufuli Ukawa kazi itakuwa ngumu zaidi. Huyu ndiye mtu anakubalika ktk sisiemu na pia upinzani, Halima Mdee mwenyewe analijua hilo, anamwitaga Magufuli Jembe.
Yule mmama Amina ni kitendawili hamna anayemjua na Migiro tunajua madudu yake!

Hujamjua mkwere vizuri. Subiri wapige chini Magufuri mpewe rozi ndo mkome.
 
WildCard,

Naona umeishampitisha kabisa Dr.Magufuli, vipi UKAWA hawawezi kuchukuwa dola na kuunda cabinet.
Lengo la UKAWA halikuwa hili wanalofanya sasa na hawatafanikiwa. Warudi kwenye KATIBA. Kutoa mgombea mmoja watakuwa wameirahisishia sana CCM.
 
Hahaha Michepuko ooyeeee! Wasichana wa UDSM mtafaidi mpaka kufa maana Shemegi atakua Raisi wa nchi, endapo UKAWA watachemka. Wale wa mabibo alikua anakuja usiku sasa atakuja mchana kweupe. Ulipokua waziri watoto walikiona cha mtema kuni, sasa unataka kua raisi.. Tanzania nzima yako dah

acha kujamba hovyo wewe kwan yule padri huo kweli na je yule mbowe sifa zake kwa wadada wakuteua chaman mwake ikoje acha hoja mfu wewe
 
Yeah, ndivyo imekuwa!

Katika tano bora alikuja na watu wake watatu. Kaja na Membe (mtu wake), akaja na Asha Migiro (mtu wake) akaja na January Makamba (mtu wake). Amina Salum Ali (uzanzibari) na John Magufuli aliwekwe kiboya kiboya tu!

TeamLowassa tukafanya yetu pale Halmashauri kuu!

Tukala kichwa cha membe teh teh ............. kura 120
Tukala kichwa cha january teh teh ............ kura 124

Tukampaisha John Magufuli ........kura 290

Tukaenda pale Mkutano mkuu, nako tukafanya yetu!

Tumempaisha John Joseph Pombe Magufuli!

Hii si timu ya kupimia kwa kijiko.....utaumia!
 
Hahaha Michepuko ooyeeee! Wasichana wa UDSM mtafaidi mpaka kufa maana Shemegi atakua Raisi wa nchi, endapo UKAWA watachemka. Wale wa mabibo alikua anakuja usiku sasa atakuja mchana kweupe. Ulipokua waziri watoto walikiona cha mtema kuni, sasa unataka kua raisi.. Tanzania nzima yako dah

Huo mchepuko wa UDSM huwa hauhitimu?
 
Back
Top Bottom