Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.
kwa hiyo wabadilishe matokeo?mtatapikia hizi hela mwaka huu
 
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.


Eeeewe mjinga kuwa na adabu muda nwingine

Eti wapinzani wanamwogopa kwa lipi"?
 
Wazee wa kufuturu bado tu? aisee kila mtu tanzania ana hamu ya kujua nani anapita
 
Lowwassa anapingwa kwa kuwa ni wa Kanda ya Kaskazini, na kwamba, akiwa rais atawashughulikia watesi wake

lowasa yeye ndo anahofu na kushughulikiwa kwa vitendo vyake vya kifisasi ikiwemo kutuletea kampuni feki ya richmond
 
Mkuu sisi tuko pembeni tunachochea kuni kwenye Tanuri..!! Kamwe usidhani kunamgombea yeyote anayeogopwa nasi, Kama ni kuogopa ninyi ndiomnaoogopa kwasababu mlianza kwa kupangua pangua ratiba na mpaka sasa mnaogopa kutangaza majina matono...Why...?

Mkimpitisha moto unawaka nje ya ccm (UKAWA inawababua) Mkimkata moto unawaka (Lowassa anawababua)

Yaani hii ni ile inayoitwa... Ukikojoa nchale,.. Ukitita nchale,.. Ukitema nchale,.. Ukimeza nchale... Yaani ni hatari tupu. Tuko pembeni hapa nyie endeleeni kularurana tu.!!

BACK TANGANYIKA
Hahahahah!!
 
Back
Top Bottom