Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Jamani mapicha ya muhimu kutuwekea maana kwenye magazeti wanawatishia kuwan'goa kucha sasa huku kwenye mtandao nako wakawatishie mods wa jf kule marekani kama inawezekana!Magamba kwishney!!!
 
• Mkiti wa Mbeya Mjini, Mwambigija anafungua mkutano: watu wa Mbeya wasingemwelewa Mbunge wao Sugu iwapo asingeinuka bungeni kwenda kuzuia udhalimu na uminyaji haki wa kiti bungeni! Wasingemwelewa!

• Anasema muda wa CCM kutawala umesha-expire, kila mtu anajua hivyo. Amewataka polisi kuacha mpambano wa kuwania udiwani wa CHADEMA na CCM, wasiingilie kati kupendelea na kuibeba upande mmoja.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wakuu tupieni picha mapema ili magamba presha zikianza kupanda wawahi zile cndano za masaa kabla hspt hazijafungwa!
 
2Q==
 
Mkuu Lu-ma-ga kwa hakika Tumaini Makene ni kati ya maafisa bora na makini tulio nao katika vyama vya siasa Tanzania.Anafanya kazi kwa weledi mkubwa sana tumpe heshima yake.Na Mungu azidi kumuongoza.

Ni kweli Mkuu.Kamanda anafanya kazi.Anapanda na kushuka.Tuzidi kumpa kamanda moyo na makamanda wengine.Kazi ya kuqhabarisha hasa hii ya kurusha picha si ya mtu mmoja.Popote alipo mwanachadema kazi ya uenezi inatakiwa iendelee.

Pia nikupongeze mkuu Molemo, Mohamedi Mtoi Mikael P Aweda, Mwita Maranya Lwesye, Magesi, Greenwich Froida Basil Lema Mzito Kabwela POMPO, Matola, Bigirita, LiverpoolFC Baba V, PakaJimmy Mpaka Kieleweke, bacelona na makamanda wengine kwa kuwa active katika muda muafaka.

CC: bungeni, thatha Sumu m 23 my web, Mtela Mwampamba, Juliana Shonza

CC: Madame B -Kwa kunipa Moral Support always

CC:Wapenda mabadiliko wote hata wale wasio na vyama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom