Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Ukishakuwa kamanda uitaji utomaso kwenye mikutano ya chama makini...

Lazima watanzania uja wenyewe bila kusombwa... kwa mbeya siitaji picha.
 
Naamini kama CCM (Chama Cha Majambazi ) ni kama walituuzia CD ambayo ina data feki so CHADEMA under M4C ndio wanaelekea kumalizia kuiformat hii CD ili tuweze ili tudownload mapya.
 
Jamaa hawamtumii DIAMOND wala malori, wala kanga, wala vilemba wala ubwabwa lakini nyomi ya kufa mtu! Duh!!! kweli CHADEMA namba ingine.
 
Chadema ndio kisima cha uzima wa mtanzania kwa sasa, usipokuja kunywa utakuja kuchota.
 
Uhai wa MaCCM umeshikiliwa na Polisiccm, usalama wa Taifa, Bunge likiongozwa na Bi Kiroboto na MATONYA (Ndugai). Vichwa vyao ni sawa mtu aliye:der:
 
Back
Top Bottom