Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Safi sana , tunakuomba Job Ndugai usikilize kilio cha Dr Bhana , adhabu ya siku 5 haitoshi ! Waongeze mwezi mmoja !
 
Uwanja wa Rwanda nzovwe maarufu kama uwanja wa Dr. Slaa umefurika katika mkutano ambao Dr. Slaa, sugu, Highness Kiwia, Wenje na Rev. Msigwa,

0


0
 
MaCCM wanajuta kuwasimamisha hawa waheshimiwa, ni kama wamempiga teke CHURA vile...
 
Ratiba inaonyesha leo jumatano kutakuwa na mkutano mkubwa wa CHADEMA Mbeya. Na Lissu leo ataungana na makamanda wenzake kuhutubia mkutano huo.

Na pia kulikuwa na taarifa humu jukwaani za zuio la mkutano huo toka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya.

Tafadhali tunaomba mlio Mbeya mtujulishe.

Ahsante Mtoi kwa Update...Tupo pamoja sana..

Swala la pics ni muhimu sana...Sana sana hayo maandamano..
 
Funguka zaidi ndugu au kifurushi chsko ni cha kuungaunga???!!! Picha na maelezo zaidi nimuhimu usikurupuke ndugu jipange kusanya data ndio uje hapa. Nitashukuru kama utakuwa umeelewa.:A S 39:
 
We miss Late Regia Mtema umakini wako haujazibwa.Tunaye Makene lakini mhhhhhhhhhhh!!

Mkuu Lu-ma-ga kwa hakika Tumaini Makene ni kati ya maafisa bora na makini tulio nao katika vyama vya siasa Tanzania.Anafanya kazi kwa weledi mkubwa sana tumpe heshima yake.Na Mungu azidi kumuongoza.
 
Last edited by a moderator:
safi mzee msahada wa picha tu nataka kufananisha ule wa gamba wa dimond platinum wa moro wazee maana magamba ni ma furish
 
M4C with no apology ! Jamani chadema, hawa ccm wamesha kubali yaishe nyi mmekomaanao mwanzo mwisho. Mmekinukisha mwanza,kisha iringa wamachinga wameamka iringa hawasikii la mtu meya anahaha tu,huko arusha RPC amechezea kichapo kama cha Barcelona,mbeya ndo kinamuka,tabora wanasubiri moto. Bungeni hakukaliki ! Mmmh
 
Asante mtoi kwa kazi nzuri usiache kutuhabarisha mkuu kinachoendelea Mungu awatangulie Makamanda.
 
mbeya jf wapo kibao so sina hofu na updates zikiwemo picha. mia
 
Back
Top Bottom