Wakili Msomi Peter Kibatala,ameshasoma mchezo Sasa anashambulia kama nyuki.
Shahidi anapotezana
Aibu tena nyingine leo. Hii kesi waifute wanazidi kuaibika. Shahidi wa leo hata pata usingizi wiki nzima. Ametajwa kwenye kundi la wasiojulikana. Sidhani kama alikuwa anafahamu kama watu wanajua anahusima kwenye utekaji. Kesi kubwa sana hiiHii kesi ya michongo,majaji wa michongo,mashahidi wa michongo naona inakwenda kuisha kwa aibu upande uleee wa mlengo wa 2025.
Hii kesi itakuwa aibu kubwa sana kwa serikali na umaarufu wa kimandela kwa Mbowe. Wajinga tu ndo hawajuiNauwaza mwisho wa hii kesi na vile 2025 iko around the corner
Kwa wema upi uliokuwa nawo kwake. Mtakie sabayaMungu mpe wepesi Freeman Mbowe na wenzake!
Mwamba amempiga maswali ushahdi wote umekuwa wa uongo.Kibatala ameupiga mwingi sana hapa 🔥🔥🔥 Kongole sana kwake mwamba
Hahaha leo kali mno.Nimeipenda Sana Cross examination ya leo. Hongera Sana mawakili mkiongozwa na Kibatala Esq. Hata Kama Wakubwa walishapanga hukumu ya kuhalalisha uovu wao, MBINGU zipo, zimesikia na zimeandika.
Kibatala: Kwanini hamkumkamata Mbowe mwezi agust 2020?Hii kesi inazidi kudhihirisha kuwa ilitungiwa club
Riwaya ikaandikiwa club
mashahidi walifundishiwa club
Onyesho lipo mahakamani ya 'mchongo'