Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,861
- 172,519
Hahahaaa, kwa hiyo hukuwajibika?!!!
acha tu!!!
Hahahaaa, kwa hiyo hukuwajibika?!!!
mke wa mshikaji wangu kaliwa tunaona ni baada ya kuletewa kadi ya kitchen party feki ijumaa jana kaenda huko kumbe ni valentine.nimemshauri rafiki yangu achukue jimama moja alilie sebuleni ili kusawazisha bao
Duh! Mbona ndoa/mahusiano siku hizi zimejaa usaliti?
Mtu anadizaini kadi unaagwa siku mbili ama tatu kabla kuwa kuna kitchen party ama send off ya dada mmoja tulisoma nae au mfanyakazi mwenzetu . Kama anajua wewe si mpenzi wa masherehe na si interested kwenda basi anaenda
mi jana maeneo yooote kile kibao cha "nafasi zipo" kilikuwa kinasoma "hakuna nafasi" nkarudi tu home
mahuziano
mi jana maeneo yooote
kile kibao cha "nafasi zipo" kilikuwa kinasoma "hakuna nafasi" nkarudi
tu home
Mpenzi mbona rahisi kummwaga tu...angekuwa wife hapo pangechimbika
dia bora nafasi zilikosa maana trh 14/11 hayatakukuta makubwa. anyway umenivunja mbavu!
Ungeenda mabwepande kwa raha zako au hukupendi kule?
aaah ilifikia mahali stimu nazo zikakata sasa!!!nkaona nirudi tu