Yaliyojiri jana kati ya man-u na chelsea

Yaliyojiri jana kati ya man-u na chelsea

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Hay wanamichezo wenzangu
bado mko fiti hakuna aliyejidhurukwa chochote kilichotokea jana.
maana usiombe ardhi itokeze nje
mambo ya jana yaliyokuwa ya aina yake pale mtu mzima anayejidai na
kutamba tamba ovyo kutoka sare sare na watoto wa mjn chelsea
ilikuwa kali, kwani jamaa yangu rafiki yangu alitaka kujizuru kumuuliza
kisa eti kafungwa? nikamuuliza tena umefungwa? akajibu Ndio...
Hee ikabidi nicheke maana alinihuzunisha kidogo kwani wao
walivyotangulia kufunga 2-0 hawakuona kuwa tutarudisha kwa mbwembwe

Weingine badala ya kwenda kulala wakabaki wanashangaa hawaoni pa kwenda
kisa kufungwa niliwashangaa sana kwani ile sio kufungwa ni sare 2-2
watoto hawakutaka mchezo. hayo ndo yaliyojiri jana katika mechi ya
man-u na chelsea sasa wenzangu wa humu hakuna aliyejinyonga hapa
hebu oneni kidogo hapa. 2.jpg



eti na wao ni hawa 3.jpg

Rafiki nani zaidi hapa na waliotia fora hapa waungwana
 
....chelsea lazima mshangilie sana tu kwani hamkutarajia; mshukuru Mungu kipindi cha pili upepo uliwageukia mambo yakawa kama yalivyokua na ndo mpira huo....ila msishangae darajani kwenu mambo yakaja kuwaendea kombo
 
....chelsea lazima mshangilie sana tu kwani hamkutarajia; mshukuru Mungu kipindi cha pili upepo uliwageukia mambo yakawa kama yalivyokua na ndo mpira huo....ila msishangae darajani kwenu mambo yakaja kuwaendea kombo[/ QUOTE] hapana! Wcwc wa cfc ulikuwa kwa refa wa jana Howard Webb kwn inaaminika ni mnazi wa kutupwa wa man u! Kw darajan uctegemee man u mtapata ahueni ingawaje binafsi ni mnazi w cfc lkn bd naona genus ipo ktk 50%-50% timu zote. Tutegemee zaidi vita ya maneno Ben 10 vs SAF, vlvl mchezo wa kukamiana sana kt ya Hz timu 2!
 
Back
Top Bottom