Mlandege
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,198
- 582
Haya amkeni muende makanisani sasa....
Wanaamkaje mapema na mning'inio wa jana? Maana najua watakua walifakamia hzo bia hahaha
Haya amkeni muende makanisani sasa....
Noma sana
Antvirus
Yaani huwezi amini jinsi nilivyoboreka mpaka nikahisi naibiwa LIVE.Kwa kweli jana nguvu za shetani zilitawala mahali pale!
Yaani huwezi amini jinsi nilivyoboreka mpaka nikahisi naibiwa LIVE.Kwa kweli jana nguvu za shetani zilitawala mahali pale!
Haya amkeni muende makanisani sasa....