FBY 2013
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 401
- 90
Kama mtu kaamua kutoa mwenyewe alichokibeba serikali itoe tamko gani tena mh?
Serikali inawajibika kuhakikisha maambukizi ya VVU Yanapunguzwa kama si kuisha kabisa,kunapotokea mikusanyiko mikubwa namna hiyo tena usiku sehemu za starehe lazima vijana watajihusisha na ngono zembe,kwa mantiki hiyo Serikali lazima itambue ni kwa kiasi gani maambukizi yanatokea sehemu hizo na ni hatua zipi zinachukuliwa kukabiliana na hali hiyo.