Sasa wewe mzee mi naongea na St. Paka Mweupe we kinakuuma nini?Acha zalau dogo,hakuna kiumbe kinachomzidi paka kwa usafi..
Erickb52 mimi mchafu?
Asante.
Kajamaa kanapenda sana sema hakapatagi nafasi tu lol
Pole sana Nicas Mtei
Hahahahaaaa charminglady jamani nisamehe mupenzi!
Sasa kama tutaonana muda mfupi si bora usiondoke?St. Paka Mweusi,
Erickb52,
trachomatis,
Kabakabana,
Kwa herini tutaonana mda mfupi ujao.
Nawapenda wooote.
Sasa wewe mzee mi naongea na St. Paka Mweupe we kinakuuma nini?
Endelea tu lazma utajisahau na kuchanganya ID
Hahahaaaaaa ntakucheka sana lool
Dah kwa next week posibility kubwa sana lol chimbo pande zipi?
Sasa wewe mzee mi naongea na St. Paka Mweupe we kinakuuma nini?
Endelea tu lazma utajisahau na kuchanganya ID
Hahahaaaaaa ntakucheka sana lool
Kajamaa kanapenda sana sema hakapatagi nafasi tu lol
Pole sana Nicas Mtei
Halafu hiyo picha yako inahamasisha lol
teh teh Nicas unayasikia haya?mie thimo
Sasa kama tutaonana muda mfupi si bora usiondoke?
Mwombe St. Paka Mweusi akuazime kitochi uendelee kuchat
Hehehee poa badae bhana
Pamoja meeen!
Hehehehee hiyo kashfa Kabakabana
Nimefuta kauli yangu
Dah piga kimya hata Eliza nae ashangaeYan ni noumer hata Elizabeth Dominic halifahamu!!! ukija ntakufanyia surprise...... Sitaki kumwaga kuku kwenye mtama mwingi!!!!!