Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Yeye hawezi?Zito kamuandikia halima mdee
Yeye hawezi?Zito kamuandikia halima mdee
mkuu uchungu wa baba kivipi tena fafanuaTanzania inazaliwa upya,uchungu wa uzazi baba.
Lissu na Mdee mda wenu huo
Zito kamuandikia halima mdee
acha unafiki na porojo Halima Mdee ni mwanasheria makiniZito kamuandikia halima mdee
ndo uongo wake unaonekana leoWaziri Muhongo si alisema matatizo ya umeme yatakua historia mbona wamekata umeme
Muda huu hutaweza kuwasikia watu kama kina Airo..majimarefu and co..
Katika hili pendekezo napingana na kamati maana kumkamata na kumfilisi haiwezekani maana hata yeye anaweza kupinga mahakamani na bunge haliwezi kutoa hukumu!