Huu ndio unafiki. Leo Zitto angeangukiwa na jumba bovu nani angelia nae??
Yani hadi waone kitu ndio wakuone mtu.
Haswaa kama anafanya upuuzi wanini basi
Chadema na Cuf waalikuwa na bifu kubwa sanasana, wamegunduwa makosa yao na wameungana wakasahau yaliyopita.
Sasa tunaupinzani wenye nguvu kwelikweli naumekuwa wakitaifa zaidi baada ya Nccr na bwana makaidi kujiunga umoja huu.
Kuna ubayagani ZZK kusamehewa nakurudi kundini nakuimarisha zaidi nguvu yetu dhidi ya hawa mafisadi.
Ona sasa Simbachawene anasahau kabisa dhana ya mtuhumiwa kuisaidia polisi, sasa anapindisha mtuhumiwa asiisaidie polisi. (yaani asiwekwe lupango)