Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Tunakoenda[MENTION] bokoharamTanzania unakuja[/MENTION]
Mbatia naye aache ushabiki wa kisiasa. Polisi wamefanya kazi yao kutokana na ukaidi wa Lipumba
Mbatia naye aache ushabiki wa kisiasa. Polisi wamefanya kazi yao kutokana na ukaidi wa Lipumba
Bunge limeahirishwa baada ya spika kukataa kujadili hoja ya Mbatia kuhusu polisi kuwapiga vibaya wafuasi wa CUF na mwenyekiti wao kinyama eti mpaka keshoo hivyo wapinzani wagangamalia hahahahaha hii nchi bwana vituko dairy
Mkuu
Sio linakuja teyari, huoni vituoni silaha zinaibwa, polisi wanaporwa, raia wanauwawa hovyohovyo nk.
Kilichobaki sasa hivi niwapi bomu lipasukie na maafa yaanze, CCM na serikali yake bado wamelala fofofo.
Watu wanahasira kubwa, maisha nimagumu sana, polisi wanatesa watu, wengine Ikulu wanaogelea kwenye fedha ya
umaa iloibwa hapa tunaenda kuchinjana kama kuku.
Polisi siyo chama cha siasa bali ni jeshi watafanya kazi zao kijeshi daima.Naona Dalili Za Oct 2015 Siyo Nzuri Kama Polisi Wetu Hawatakuwa Na Uadilifu Ktk Majukumu Yao
Lipumba hata kama angekufa sawa tu huwezi kuvuja sheria harafu uchekewe tu.Hii ni zaidi ya unyama ulofanyiwa Kizza Besigye.
Mnashabikia kuvunjwa haki za watu kwa kuwa mnaarisha majeshi lkn kuna sk mtajuta na muda utakuwa umepita
Lipumba hata kama angekufa sawa tu huwezi kuvuja sheria harafu uchekewe tu.