Yaliyo nikuta kwenye daladala

Nilijua mlivyobanana ukategeshewa mzigo maana hawa madada wanatupa mitihani sana ya maksudi kwenye madaladala.

Hahaha hamna mkuu ingawa vishawishi kweli vipo gari ikiyumba kidogo anataka akudondokee mzima mzima ukimkwepa utasikia hunipendi unapenda nianguke
 
Usiwe na hasira, yaani mtu kama huyo ndio inakuaga rahisi kweli kula mzigo, learn to change your challenges into opportunities!!

Hahaha sawa mkuu so next tym nikimuona je?
 

Huyo alikuwa na stress zake aidha kakorofishana na buzi lake ama boss kala mzigo halafu hataki kumuongezea mshahara au kumpandisha cheo kazini/vyote kwa pamoja kama alivyomuahidi kabla hajapewa mzigo. Labda ndio maana huyo dada ameona bora amalizie stress zake kwenye daladala.
 
watu kuto tofauti mm mara nying nikiingiaga dala dala ilo jaa mfano mm nina siti utaskia dada njo nikupakate mm nikae na kweli so kaka jua watu wengune visilan tuu

Kweli watu tupo tofauti kila moja na mawazo ake
 
Mkuu hicho kilio akikitoa mwanaume haipendezi hata kidogo

Twende mtaa wa pili chapchap sana nikakupige mpaka uvimbe tumbo

Hako kamlio hakyamama najaribu kuimajini ukikatoa wakati naniliu inananiliu....

Eeeh kuvimba tena....
 

Kosa ulilolifanya ni kwamba binti alitegemea wewe uwe unamsugua taratibu na ding dong lako badala yake wewe ukatumia mkono!!! oooops!!!
 
Hahaha sawa mkuu so next tym nikimuona je?

Mjengeee mazingira umalize mchezo aiseee, ndio heshima itarudi, tena hutadaiwa hata senti. Wengine inakuwa ni stress tu katoka alikotoka jamaa kamtenda basi ni full hasira
 
Kumbe ulikuwa wewe kijana....yule msichana ni boya sana.....ningemchapa makofi......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Usiwe na hasira, yaani mtu kama huyo ndio inakuaga rahisi kweli kula mzigo, learn to change your challenges into opportunities!!

Ha ha ha! Nimecheka sana hiyo method. Changing of Liability into an asset! Mgosi mbinu hizo wanazo wachache sana na hawa vijana wa siku hizi ndio hawana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…