Yalionikuta mtaani sina hamu

Yalionikuta mtaani sina hamu

Waungwana hebu nishaulini natamani kuhama mtaa lakini kodi yangu niliolipa bado kubwa nifanyeje maana naona kama huyu mama anataka kuniingiza kwenye mtego.

Fata ushauri wa kwenda polisi, ukizubaa kuna siku atakuvamia ndani kwako ajifanye anataka kupiga kelele umembaka, hapo ili muyamalize utaombwa kiasi flani cha hela ili yaishe, ila kama ulishawahi polisi issue itaisha haraka.
 
Mtu kuamini hizi hadithi zako kunahitaji awe na roho ngumu kama mbabe uchwara maana nawe unalazimisha wana jf tukuombee kwa Mungu.
Huwezi kuamini Kama haujawafahamu vizuri wamama wa kiswahili
Kitakacho fuata hapo utafumaniwa na kuonekana una kosa la kutembea na mwanafunzi huku sheria hairuhusu na unaweza ukafungwa miaka 30.
Katika fumanizi watadai hela ili kesi iishie juu juu
Au watakusingizia umempa mimba
Au watakusingizia umebaka

Kimbia ni tego HiloHilo
 
Sawa handsome boy, hongera kwa kumchanganya binti wa form 3, tatizo mnawaza kupitiliza na kufikia mpaka kuamini mawazo yenu kwamba ni ukweli, hizi Movie nazo zinawadanganya.
 
Dogo achana na hawa watoto wa uswazi, Hapo sio mahali salama hama kabisa, unawindwa.
 
Piga window chini mkuu..Fuata mambo yako ndio jambo la msingi...Huyo Mama wa Daslam hachelewi kukuganda kama Ruba ili uisaidie familia yake..Watch out!!
 
huyo mama ana mvuto?... lazima uwafundishe adabu japo kdg....kama la......rudi home kimya kimya tafuta chumba mahali pengine...... ila kama anamvuto......tafuta chumba kwanza.......kung'uta mpaka atoe vumbi.....then hama fasta....ni ushauri tuu...
 
huyo mama ana mvuto?... lazima uwafundishe adabu japo kdg....kama la......rudi home kimya kimya tafuta chumba mahali pengine...... ila kama anamvuto......tafuta chumba kwanza.......kung'uta mpaka atoe vumbi.....then hama fasta....ni ushauri tuu...
Hahahahaaaaaaa duh!kuna viumbe wanaushauri aseee!!
 
ha ha ha muandikishiane kabisa hayo maigizo aisee na script mpeleke BASATA wakaikague kabla hamjaanza kuigzia.
 
Inaweza ikawa kweli maana hata mie ishanikuta sema msichana alikua mkubwa yupo chuo kimoja hapa dsm.

Yani tulikua na mahusiano, tulipoachana yule dada hakua tayari so alikua kama anaumwa akakonda sana akapelekwa na hospital. Sasa ikabidi wazaZi wake waulize kwa rafiki zake mwenzenu ana nini wakamwambia ukweli.. Kuwa kaachwa basi nikapigiwa sana simu kuwa nimsamehe coz anaweza kufa mpaka wazazi wake kunitisha eti watafunga safari kuja home..
So jamaa anaweza kuwa na story ya kweli.
 
Back
Top Bottom