?Kudai zanzibar huru na kuchoma makanisa na kuibia wanyonge wapi na wapi? UAMSHO ni magaidi kama Alqaida na Al-shabab! Shem on you Uamsho! Mnataka kuleta vita tu. Nilipokuwa kenya nilisikitika sana kuona wakinamama wakisomali wakikaa bila amani na kinyonge eti kisa Al- shabab wanataka nchi iongozwe kiislamu. Mara sambusa ni utatu mtakatifu. Mara utekaji wa meri. My take: Makundi kama ya Al-Shabaab, Alqaida, Boko Haram na Shehe ponda( Mihadhara) yasichukuliwe kama makundi ya kiislamu kwani dini ya kiislamu inahubiri amani siyo vita. Yachukuliwe kama makundi ya kishetani, ya watu wa choyo wa madaraka, ya wajinga, wapuuzi, watu wenye njaa, wanaopenda kutawala bila kwenda shule, wanaotaka maisha mazuri bira kufanya kazi, ya wanyang`anyi. ( Ebu angalia jitu linakataa kuhesabiwa kisha kesho linalalamika kuwa ajira hakun hii ni akiri matope? Utapateja ajira wakati record za kuwepo kwako na elimu yakohazipo.