Yaliojiri leo Vuga katika kesi ya wanaotetea Zanzibar yenye mamlaka kamili

Jun 23, 2012
15
0
Viongozi wa jumuiya ya uamsho wanaodaiwa kusababisha vitendo vya uvunjifu wa amani Visiwani zanzibar wamefikishwa kwa mara nyengine katika mahakama kuu ya vuga kwa ajili ya kutolewa ufafanuzi juu ya malalamiko yaliyotolewa na mawakili wao dhidi ya vitendo wanavyofanyiwa wateja wao wanapokuwepo gerezani. Ikiwa ni pamoja na kukosa uhuru kitu ambacho ni kinyume na haki za binaadamu.
Viongozi hao walifikishwa mahakamani hapo majira ya saa tatu kamili barabara asubuhi wakiwa chini ya ulinzi mkali wa gari nne za askari wa kutuliza ghasia {ffu}, huku wakiwa wamevalia kikazi zaidi.
Mapema baada ya viongozi hao kushushwa katika gari lilokuwa limewabeba alisikika Sheikh Mussa Juma, ambaye ni mmoja wa washtakiwa hao, akiwaambia waandishi wa habari "Nyinyi waandishi wa habari njooni gerezani kuchukua habari jinsi tunavyonyanyaswa sio mnachukua hapa tu"
Kabla ya kuingizwa washtikiwa hao katika chumba cha kesi askari polisi walianza kuwatawanya wananchi waliofika mahakamani hapo pamoja na waandishi kwa njia za amani ili kuweza kuondoa usumbufu katika chumba hicho. Lakini wakati huo huo wakamchukuwa kijana mmoja ambae alikua akipiga picha matukio hayo kwa kutumia simu yake ya mkononi.
Nae mwendesha mashtaka wa kesi hiyo george kazi ametoa ufafanuzi juu ya malamiko ya washtakiwa hao na kusema mahakama haina haki ya kuvilazimisha vyombo vya ulinzi kutenda haki kwa washtakiwa hao, hivyo amewaomba mawakili wa viongozi hao kufungua kesi katika mahakama kuu ya vuga kwa lengo la kudai haki hizo.
Aidha amesema bado upelelezi wa kesi yao bado unaendelea hivyo ameamuru washtakiwa hao kurejeshwa tena rumande hadi tarehe 29 mwezi huu.
Wakati washtakiwa hao walipokua wakiingizwa katika gari kwa ajili ya kurudishwa rumande sheikh mussa alirudia tena maneno yake aliyoyasema mwanzo huku akiungwa mkono na sheikh farid kwa kusema zanzibar itapatikana, na baaadae kuwauliza wananchi "mnautaka muungano" na wao kujibu huku wakipiga takbiri katika mlango wa mahakama "hatuutaki"
Wakati huo huo wakili wa washtakiwa hao bwana Salum Tawfiq ameziomba familia za washtakiwa hao kuendelea kupeleka baadhi ya huduma kama vile chakula ingawa hawaruhusiwi.
 
Tatizo la Zanzibar ni huo Uislam wenu. Hebu utupeni chooni muone kama hamtamtambua adui yenu ni nani!

You just hide your st.u.pidit.y as a notion character! And then recognise your wise !.
Have scholarly knowledge .
 
Juu ya hili, latakiwa kulifanyia utafiti na kama ikibainika wanatendewa isivyo haki basi hatua zaidi zichukuliwe kwa usika, mambo haya ndugu tusiyachukulie ki ushabiki.
 
Poleni sana, ila mjipange vizuri, msije onekana mnachanganya malengo.

Hawa uamusho sasa hawajulikani wanataka Muungano au kuiba mali za watu kwa jina la dini ?Kama wanaukataa Muungano si waanzishe Chama cha siasa waongee siasa badala ya kuiba na kuvuruga nchi yao ?Wapuuzi acha wapumuliwe huko huko gerezani na kama wanataka waingie mtaani wakione si watemi ?
 
Ukishakuwa mtuhumiwa na kupelekwa mahabusu au gerezani ni nadra sana kupata haki zako kwani hakuna mtu ambaye anafuatilia kwa karibu nini kinatokea huko ndio maana vitendo vya unyanyasaji na hata kulawitiana vipo magerezani.

me sioni sababu ya tanganyika kuendelea kuwalazimisha watu wawe kwenye muungano wasio utaka, plz let them be free
 
Unawadhalilisha Wazenji huwezi kuacha hata paraghaph? au uko madrasa
 
busara zitumike. Madai yao yasikilizwe. Nchi ibaki katika amani.
 
me sioni sababu ya tanganyika kuendelea kuwalazimisha watu wawe kwenye muungano wasio utaka, plz let them be free

Mkuu, Tanganyika inawalazimishaje wa-Zenji kuwemo katika muungano?
Ilipata kutolewa rai humu ndani ya JF ya kuwasaidia wa-Zenji kujitoa katika Muungano bila rabsha yoyote. Lakini inaonekana wanaoukataa ni wachache huko Zenji.

Rai ilikuwa, kama kweli hawautaki muungano, waanzishe muswada na kuupeleka katika Baraza lao la mapinduzi la kuwepo kwa kura ya maoni kuhusu kuukataa au kuukubali muungano. Lakini hadi leo hakuna aliyethubutu kufanya hivyo. Kwa mantiki hiyo utasema hao watu hawautaki muungano?

Nakumbuka kuna usemi mmoja wa kiswahili unaosema "kisebusebu na kiroho papo". Ndivyo walivyo hao jamaa. Nawapa pole.
 
?Kudai zanzibar huru na kuchoma makanisa na kuibia wanyonge wapi na wapi? UAMSHO ni magaidi kama Alqaida na Al-shabab! Shem on you Uamsho! Mnataka kuleta vita tu. Nilipokuwa kenya nilisikitika sana kuona wakinamama wakisomali wakikaa bila amani na kinyonge eti kisa Al- shabab wanataka nchi iongozwe kiislamu. Mara sambusa ni utatu mtakatifu. Mara utekaji wa meri. My take: Makundi kama ya Al-Shabaab, Alqaida, Boko Haram na Shehe ponda( Mihadhara) yasichukuliwe kama makundi ya kiislamu kwani dini ya kiislamu inahubiri amani siyo vita. Yachukuliwe kama makundi ya kishetani, ya watu wa choyo wa madaraka, ya wajinga, wapuuzi, watu wenye njaa, wanaopenda kutawala bila kwenda shule, wanaotaka maisha mazuri bira kufanya kazi, ya wanyang`anyi. ( Ebu angalia jitu linakataa kuhesabiwa kisha kesho linalalamika kuwa ajira hakun hii ni akiri matope? Utapateja ajira wakati record za kuwepo kwako na elimu yakohazipo.
 
uamsho ndo mkombozi wa zanzibar na wala sio mwengine.lakini kwa nyinyi mulio na akili za samaki mutasema uamsho ni magaidi na huo ugaidi amefanyiwa nani?say no union.kama munataka muungano,nyinyi watanganyika ungana na mkenya ama mganda.bulshit!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom