Yaliojiri jana na yatakayojiri leo kumuaaga Tata Nelson Rolihlahla Mandela

Akili za kibavicha hizi

In what sense? Usimbandikie MTU JINA bila ufafanuzi...
Ndio Matatizo ya Mtanganyika... Haujui kwanini HAENDI just kufuatila ELIMU ya KATA...

Soma HISTORIA...

Wakati wa MKOMBOZI JULUS NYERERE -- Hatukua na UHUSIANO nao... LEO HII SIJUI KAMA KUNA MZALENDO aliyebaki Nchini
 
Richard Kasesela?
 
Karzai, Thabo Mbeki, Sirleaf na Ban Ki Moon ndio wameingia sasa
 
MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KUTOKA AFRIKA KUSINI AMBAPO MISA YA WAFU YA HAYATI MANDELA INAFANYIKA....
itaanza muda wowote kuanzia sasa wageni mbalimbali ndiyo wanaingia uwanjani sasa.

 
Uwanja umejaa sana sana aiseee, watu wanaimba wanafurahi wanalia
 


watu wanaohudhuria misa hii ni wengi sasa.

Gracia Machel wana salimiana na Winnie Mandela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…