Yalikua maamuzi magumu ila ya busara

Yalikua maamuzi magumu ila ya busara

Mama aliamua kwenda kusoma pia kwasababu ya kuimarisha kipato cha familia. Katika hatua za mwisho za safari hakuwa na muda ya kutafakari consequences. Hata hivyo alimuamini mume wake.[/QUOTE

acha nilale sasa. Kuna wakati huwa nakomaa eti binadamu hata umfanyeje hachungiki lakini hiki kisa kimeonyesha mama angekuwa karibu baba asingeingia majaribuni. Usiku mwema dada.
 
Kuna mama mmoja alikua mnoko kweli kwa wadada, wadada walikua hawakai, akirudi kutoka kazini yeye ni kama walioshinda nyumbani walikua wanacheza. Basi akampata dada kumbe dada muathirika, alivyoanza kumpelekesha dada alianza kulala na baba mwenye nyumba akimchanganya na mtoto mkubwa wa kiume. Alihakikisha kumkomoa mama amewagaia dose wote!
 
Poa lkn alikuwa anahitimisha amri ya m/mungu kuwa mjakazi lazma umtafune, ikiwezekana uzae nae kama kina mtume suleiman n.k. Hiyo HIV ni ajali tuu kama kuanguka bafuni. Chao
 
ila wanandoa kuwa mbali mbali hata dar-moro ni kutiana majaribuni jamani! Ni kwa kuwa tu hatujui kusoma alama ila kitendo cha housegirl wa siku zote kuaga wakati mama anataka kwenda ulaya kilikuwa ni ishara kuwa mama atafakari upya swala zima la kuondoka na kuacha familia. Mama ndo mlinzi wa familia atii. Unapataje usingizi ukifikiria umeacha wanao na "stranger"? Kuna fursa ambazo huwa naamini zinapatikana zaidi ya mara moja. Shule na scholarship ni mbiliwapo. Hivi unafikiri huyu baba ingekuwa ndo kaenda huko ughaibuni mama angebabaika kiasi cha kunywa bia kupunguza upweke? Unaachaje familia na mtu ambaye hujachukua muda wako kumchunguza na kuridhika nae? Wengine muongeleeni baba, wengine housegir. Mimi nimechagua kumuongelea mama.

Mkuu kiukweli distance love ni shida sana,Mimi mchumba wangu yupo chunya huko kama unaelekea tabora kutokea mbeya,Mimi nipo Morogoro manispaa,nkitaka kwenda huko nasafiri siku 2 kwenda siku 2 kurudi,hivyo weekend days hazitoshi kabisa,matokeo yake,tunaonana kwa mwaka Mara mbili tu!!!najitahidi nsisaliti mahusiano yetu,japo ni changamoto sio mchezo,kwa sasa nafikiria kutafuta kamchepuko tu,japo hii story nahisi ina ujumbe maalum kwa watu wa aina yangu!!!
 
Na yeye na ushamba wake tu, tuko wengi tusiotaka hata uziskia condom, wengine tumejaza vipimo kwenye masanduku, kabla haujaanza kusimamia show lazima ujiridhishe kupima naye japo mara mbili ndiyo upige peku, inakupunguzia uwezekanno. Sasa wewe mwenzangu na mimi limchepuko umelichepua siku moja tu unazamisha mashine kavukavu, hata kichefuchefu hauna? wengine wanatumia condom wiki mbili ya tatu wamepimana kwa mazowea wanapigana mashine kavukavu...hatari! Kuna mchepuko wangu uko hosptal moja huwa unaniambia, wanandoa mara nyingi huuwana maksudi kwa kuogopa kuonekana ye mzinzi na kuhatarisha ndoa, mmoja akipima akigundulia yuko chanya akiambiwa akamlete mwenza anakataa katakata kwa mba hataki kuwa wa kwanza kubreak news kwani ataonekana yeye ndiye kauleta!
Wanandoa wako hatarini kuliko wasio kwenye ndoa.
 
nilikuwa na appoitnment na mchepuko mida ya saa 3, sasa baada ya kusoma mada yako imenitisha, ila ngoja niagize ya bardiiiiii nisahau halafu niende tu.

Hahahaaaa jamaniii
 
Kuna mama mmoja alikua mnoko kweli kwa wadada, wadada walikua hawakai, akirudi kutoka kazini yeye ni kama walioshinda nyumbani walikua wanacheza. Basi akampata dada kumbe dada muathirika, alivyoanza kumpelekesha dada alianza kulala na baba mwenye nyumba akimchanganya na mtoto mkubwa wa kiume. Alihakikisha kumkomoa mama amewagaia dose wote!

Tatizo siyo mama, tatizo ni huyo baba, Mtu mzima unategwa na house girl? Ni uamuzi tu.
 
Na yeye na ushamba wake tu, tuko wengi tusiotaka hata uziskia condom, wengine tumejaza vipimo kwenye masanduku, kabla haujaanza kusimamia show lazima ujiridhishe kupima naye japo mara mbili ndiyo upige peku, inakupunguzia uwezekanno. Sasa wewe mwenzangu na mimi limchepuko umelichepua siku moja tu unazamisha mashine kavukavu, hata kichefuchefu hauna? wengine wanatumia condom wiki mbili ya tatu wamepimana kwa mazowea wanapigana mashine kavukavu...hatari! Kuna mchepuko wangu uko hosptal moja huwa unaniambia, wanandoa mara nyingi huuwana maksudi kwa kuogopa kuonekana ye mzinzi na kuhatarisha ndoa, mmoja akipima akigundulia yuko chanya akiambiwa akamlete mwenza anakataa katakata kwa mba hataki kuwa wa kwanza kubreak news kwani ataonekana yeye ndiye kauleta!
Wanandoa wako hatarini kuliko wasio kwenye ndoa.

Hii ni kweli kabisa. Wana ndoa wapo hatarini zaidi kuliko watu wa aina nyingine wote.
 
Ninampa credit baba, lingekuwa limwanaume selfish lisingesema, na lingeendelea kulala na mkewe.
 
ila wanandoa kuwa mbali mbali hata dar-moro ni kutiana majaribuni jamani! Ni kwa kuwa tu hatujui kusoma alama ila kitendo cha housegirl wa siku zote kuaga wakati mama anataka kwenda ulaya kilikuwa ni ishara kuwa mama atafakari upya swala zima la kuondoka na kuacha familia. Mama ndo mlinzi wa familia atii. Unapataje usingizi ukifikiria umeacha wanao na "stranger"? Kuna fursa ambazo huwa naamini zinapatikana zaidi ya mara moja. Shule na scholarship ni mbiliwapo. Hivi unafikiri huyu baba ingekuwa ndo kaenda huko ughaibuni mama angebabaika kiasi cha kunywa bia kupunguza upweke? Unaachaje familia na mtu ambaye hujachukua muda wako kumchunguza na kuridhika nae? Wengine muongeleeni baba, wengine housegir. Mimi nimechagua kumuongelea mama.

Ni kweli mama ana makosa lakini angefanyeje nae anataka kusoma! Ukweli ni kuwa wanaume wengi wanaongozwa na hisia! Ingekuwa wapo mikoa tofauti wangekuwa wanatembeleana atleast kupunguziana stress!
 
wewe unasema tu! Hujui kuwa kichwa cha chini kikisimama cha juu hakifanyi kazi!
Kichwa cha chini kikisimama si unachomeka kwa mkeo?!! Kichwa cha chini kinaratibiwa na kichwa cha juu, zingine ni lame excuse tu Mkuu.
 
Sasa kilivyosimama mke hakuwepo alikuwepo huyo housegirl:A S-frusty2:
 
Viganja vya mikono vina kazi nyingi sana kwa sisi wanaume. Huyo house girl alimpangia tu toka mwanzo, angekuwapo nduguye angemsimamia show huyohuyo kisa kichwa cha chini kimesimama?
 
Ni kweli mama ana makosa lakini angefanyeje nae anataka kusoma! Ukweli ni kuwa wanaume wengi wanaongozwa na hisia! Ingekuwa wapo mikoa tofauti wangekuwa wanatembeleana atleast kupunguziana stress!
Duuh,law of Balance ipo wapi !! huwezi kuwa na kitumbua mkono huu na cake mkono wapili.... Yaani mama awe na mume na awe na Kisomo (shahada)..!! ni lazima utadondosha kimoja !
Sky Eclat
 
Last edited by a moderator:
Duuh,law of Balance ipo wapi !! huwezi kuwa na kitumbua mkono huu na cake mkono wapili.... Yaani mama awe na mume na awe na Kisomo (shahada)..!! ni lazima utadondosha kimoja !
Sky Eclat

Hiyo shahada ilivyomcost hata akiiangalia hana ham nayo.
 
Back
Top Bottom