Yaleyaleeeeeeeeeeeeeeee!

Yaleyaleeeeeeeeeeeeeeee!

Complicator EM

Senior Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
155
Reaction score
39
Jamani yaani hapa mfukoni niko empty, chai sijapiga, nawaza mchana itakuwaje hlf hata mwelekeo wa maisha bora niliyoahidiwa na Mh. siuoni kabisa si ni upumbafu huu? Ngoja nikavizie mtu akikatiza kihasarahasara nijifunze kukaba, no way. Mkitaka mnishauri mkitaka muache ila angalie usije ukajichanganya mbele yangu.
 
Kule hiyo kitu iliyochomoza kwenye avatar yako....
 
Tatizo wewe una complicate kwa kitu kidogo sana, nitafute nikujaze hela, ila umenisikitisha kwa kupayuka kwako kama mrembo, wanaume tukiishiwa huwa hatupigi kelele kama unavyofanya wewe
 
Tatizo wewe una complicate kwa kitu kidogo sana, nitafute nikujaze hela, ila umenisikitisha kwa kupayuka kwako kama mrembo, wanaume tukiishiwa huwa hatupigi kelele kama unavyofanya wewe

true dat mzazi
 
... Ngoja nikavizie mtu akikatiza kihasarahasara nijifunze kukaba, no way.

Shida yako ukiitatua kwa njia hiyo si muda mrefu tutakusahau maana utachomwa moto. Waulize mafisadi walifanikiwaje ...? Maana walikwapua za kutosha na hawakuwahi kukamatwa!
 
sasa hela ya kuingia Internet Cafe si ungefanya mpango wa chai? Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom