themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Mara nyingi wamekuwa wakitushtukiza hapa jf kwa ajali za uwongo mwisho wa siku utawakuta wamejipanga na magari yao watatafuta screpa wataliwasha moto alafu wanaanza kuzuga kuwa wanalizima utazani wapo serious vile, wanasemaga kuwa walikuwa kwenye zoezi la utayari hivyo wanajiweka fit kwa lolote likitokea watu wawe chap kuokoa na kumbukeni yale mambo huwa yanaleta taharuki hata kwa wasafiri, Sasa huwezi amini ajali ya ukweli leo ilivyotokea walikuwa wapi aisee
Yale mazoezi ya kushtukiza natumaini huwa kuna posho na marupurupu na huwa kuna bajeti za kuyaandaa ila zinapokuja kutokea ajali za ukweli utajiuliza walikuwa wapi, ni heri pesa za ya yale mazoezi mnayosema ni ya utayari mrejeshe mara moja ni utapeli