Yakulalia

Yakulalia

akiachana nayo huyo bwanaake anayeyapenda itakuwaje? cheni zimekuja miaka ya hivi karibuni na wengi wanavaa kwa kuonea aibu shanga, lakini shanga za asili kusema kweli binafasi nazipenda sana zina mshawasha kuliko cheni ambayo inapendezesha tu kiuno lakini hazitii ham yoyote zaidi ya kupendeza machoni. siku hizi mpaka wazungu wanazivaa nduguyangu na wanauziwa kwa bei ghali hasa na watu wa africa magharibi. acheni kuona aibu wadada, kama bwanaako anazipenda we tupia tu siku ambazo mna event, ukirudi vua, tofauti na hapo atampata anayejua kuzitupia na ataenoy zaidi kwake.
wala hatuvai cheni kwa kuonea aibu shanga na wengine hatuvai ili kumfurahisha wanaume maana ukivaa kwa ajili ya mtu/watu utaishia kubaki dilemma, wengine wanapenda wengine hawapendi. nyie wanaume hata mvaliwe tunguli kama kuchepuka mtachepuka tu. tunaopenda cheni tunajua raha yake.
 
wala hatuvai cheni kwa kuonea aibu shanga na wengine hatuvai ili kumfurahisha wanaume maana ukivaa kwa ajili ya mtu/watu utaishia kubaki dilemma, wengine wanapenda wengine hawapendi. nyie wanaume hata mvaliwe tunguli kama kuchepuka mtachepuka tu. tunaopenda cheni tunajua raha yake.

hahaha, kumbe unavaa cheni kwa ajili ya nini wakati muda wote imefichwa?!!..tuibie siri kidogo mkuu.
 
Ktk jukwaa hili la mapenzi na Mahusiano hebu niambieni au nifunzeni...
Shanga zilee za kiunoni zinamaana gani?
Mbona baadhi ya wanaume ukivaa anakutimua nazo anakuwa hataki kabisa anakuona km changu.
Ila wengine wanazitaka na wakikuona umevaa shanga mkononi anakuuliza kiutani huku anatabasamu na huko ni hivyo hivyo...akimaanisha anazipenda..

Nashindwa kuwaelewaaa!!

Hii mi sioni maana yake na binafsi sipendi..ukivaa naona ka mwanamke wa kiswahili. Utakuta mwanamke kavaa halafu amekaa kwenye gari zinaonekana..sana akiinama. Haipendizi hata kidogo. Napenda mwanamke aliyevaa hereni na mkufu kwa sana. na wala siyo ile ya kuvaa mguuni sioni kama ina tofauti na shanga.
 
Shanga zinaboa sana, labda sijui jinsi ya kuzitumia
 
wanawake wa siku hizi bwana!!! et uchafu! na cheni ndo c uchafu kaaa,full kuharibikiwa.Me ukivaa cheni kiunoni ndo SITAKI unisogelee kabisa TOKAAAAA.Ila aliyevaa shanga ndo nitamwelewa kwa sababu yupo kiafrika zaidi.
 
Uvae au usivae bao zangu zipo pale pale!Hazipungui sababu haujavaa wala haziongezeki sababu umevaa!!

Got it?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom