Yako Wapi Mapenzi....!!!!

kumbe wewe ndo unanipigia anna wangu, nashukuru sana, sasa leo akirudi atakoma. na wewe jiandae kidude chako kuhama hapo kilipo naenda kwa babu maana bastola sina. teh teh teh
hahaha haya mi simooo!
 
Utafute na huu wimbo wake mwingine wa Msaliti..umezoea kuonja kwa kila mtu eti kisa wewe ni mwanamke mzuri sana...unatamani hadi ndugu zangu...anatoka nyumbani na baibui akifika njiani ana kimin..yaani huu nao ni majuto tu.
ntautafuta huo kaka
 
pole mkuu, mimi uwa napendaga sana anna na jasmin wa ngwasuma, ukinikuta maeneo hujui kama ni kijana leo.



Mimi huwa napenda Penzi La Mwisho wa DDC Mlimani Park. Oh Ohooo Ohooo, Ohoooo dear.....limekuwa ni jambo lisilo tegemewa na wengi.......dah muziki wa bongo jamani mtamu na una mafunzo ile mbaya. Bitchuka anasema..."Usiponipenda weweeeee, wenzio wanitafutaaaaaa!"
 
Mie nadhani kukurupuka katika mapenzi ndio sababu ya kuumizwa, a woman unapompata try umuelewe ni type gani (type-tabia,anachopendelea na e.t.c) then kama unammudu go after her. Mfanyie some editing polepole (yaani mcreate) unavyotaka awe but avoid rushing, take time if u do love her. Cares muhimu sana. After all in all U'll be happy.
 
fanta wangu,umeamua,kuniacha peke yangu mama kwa ajili ya pesaa.aghaa
Mwenye pesa kanipor.ghaa naweee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…