donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
kapuyanga ndio anajiuliza yaliko mapenzi
umenikmbusha mbali sana...............
pole mkuu, mimi uwa napendaga sana anna na jasmin wa ngwasuma, ukinikuta maeneo hujui kama ni kijana leo.
kabisa best!mapenzi aliondoka nayo babu kabla hajaga dunia....
kabisa best!
mapenzi aliondoka nayo babu kabla hajaga dunia....
niliwahi sikia kuwa huu wimbo ulikuwa umebeba ujumbe kwenda kwa mkuu wa kaya !!!!??Salaam,
nakumbuka kipindi flani back in days,i had a quarrel with my back then girlfriend. Tuliargue sana siku hiyo na kurushiana maneno sana and for weeks tukawa hatuongei. Nakumbuka siku hiyo nimekaa shoko pale mbezi bondeni, nina pata kilaji kidogo huku nalitafakari swala la kugombana na mpenzi, kwa mara ya kwanza ndio nausikia huu wimbo wa Bella - yako wapi mapenzi. Ukicheck na situation niliyokuana nayo, niliona kama jamaa alinitungia. That was years back then...
duh! unamtazamo hasi sana................
kumbe wewe ndo unanipigia anna wangu, nashukuru sana, sasa leo akirudi atakoma. na wewe jiandae kidude chako kuhama hapo kilipo naenda kwa babu maana bastola sina. teh teh tehaaaah nakumbuka mwaka 2009 wakati mpenzi wangu Anna unaniacha na kuenda kuolewa na bwana mwingine ...lakini silaumu maana mpaka leo nakupiga kazi kama sina akili nzuri japo umeolewa
Salaam,
nakumbuka kipindi flani back in days,i had a quarrel with my back then girlfriend. Tuliargue sana siku hiyo na kurushiana maneno sana and for weeks tukawa hatuongei. Nakumbuka siku hiyo nimekaa shoko pale mbezi bondeni, nina pata kilaji kidogo huku nalitafakari swala la kugombana na mpenzi, kwa mara ya kwanza ndio nausikia huu wimbo wa Bella - yako wapi mapenzi. Ukicheck na situation niliyokuana nayo, niliona kama jamaa alinitungia. That was years back then...
hahaha mkuu pole japo on the other side we si mtu mzuri kabisa!aaaah nakumbuka mwaka 2009 wakati mpenzi wangu Anna unaniacha na kuenda kuolewa na bwana mwingine ...lakini silaumu maana mpaka leo nakupiga kazi kama sina akili nzuri japo umeolewa