Yako wapi magari ya Lake Oil?

Yako wapi magari ya Lake Oil?

ALAFU NASIKIA VITUO VYAKE VYA MAFUTA MAUZO WALIKUWA HAWAPELEKI HELA BENK, KULIKUWA NA MAGALI LAND CRUICER NDO YALIKUWA YANAPITA NA KUKUSANYA PESA ..

Kwanini hawapeleki pesa bank? Halafu kwani ni kosa kutopeleka pesa bank?
 
Unafikiri tatizo lake ni kuona kuwa Lake inapeta? la hasha.
Yeye kinachomsunbua ni wivu, alitaka kusikia kuwa Lake is no more.
Hapo saa hizi roho inamuuma kwa Kusikia Lake Oil bado wapo Imara.
Hahahaha hata mimi nimemuelewa, alitaka apate sapoti kua jamaa wamefilisika,

Hlf sijui yeye anafaidika na nini wkt wabongo wenzake ndio wamejaa hapo, kampuni ikifilisika means na kazi hakuna. Taifa litajengwa vipi.
 
tulicho mfanyia hatakaa asahau huyo bosi wao,derevawake alimgonga bodaboda alafu hakusimama baadae akakimbilia ofisini,tukamkuta huyo jamaa analindwa balaa ila tulimkalisha na bodaboda akapata stahiki zake

ilikuaje mkuu, jamaa alipewa kicbapo?
 
Mleta mada nadhani umeshapata majibu,
Kampuni ya Lake Oil ipo na inapiga kazi kama kawaida.

So Relax mkuu.

Hajui lake oil n group of companies kuna Lake oil depot
Lake oil gesi
Gulf premix mambo ya ujenzi kuna lake trans zile gar za cargo ambazo hazion wanapga transit kuna African Inland container depot iko nyuma ya tazara depot ya makontena sasa huko ndo n shida gari zake ba yadi yake kaua mbayaa af baba ake ana kampun ya magar inaitwa edha awadh au overlandlogistics dada ake ndo mwenye azania kama azam pale tazara...!!!! Sasa hawa sijui mtoa mada atawakuta wap
 
Uzi umevamiwa na watetezi wa lake oil "interesting"late wait and see
 
Baelezeeee Baeleweeee.
 
Uzi umevamiwa na watetezi wa lake oil "interesting"late wait and see

Ki english ma Nigga n shida sie tupo humu lake oil hatutuetei tunatoa fact niko zambia na mgari wake na lita elf 39 na yeye lake oil kwa gar 1 kuyasafirisha analipwa kama $5000 hiv sasa hapa ana gar kama 25 na zingine ziko njian na zingine zinapakia dar shaur ako
 
Waungwana,

Mwaka jana tulikuwa tunaona magari makubwa ya mafuta yenye chata ya Lake Oil, ila kipindi cha mwisho wa kampeini za uchaguzi magari hayo hayakuonekana barabarani tena hadi sasa.

Hivi kilitokea kitu gani kwa hayo magari, na je! Mmiliki wa magari hayo alikuwa nani? Kama anajulikana hana harufu ya watumbuliwaji?
Basi nukajua labda kwa sababu siku hizi nimepunguza safari za mikoani ndo maana siyaonagi! He kumbe hayapo!! :
 
mkuu sio lazima watumie hayo magari yaliyovaa stika hiyo pale superdoll pana gar nyingi za kukod wanaweza kuchukua hawa ni wafanya biashara wakubwa wanajuana.
 
Sisi Watanzania tuna wivu sana
Kiufupi hatupendi mtu aendelee zaidi yetu
Hata raisi wetu hapendi watu waendelee ndio maana anataka watu waishi kama shetani

Tufanyeni kazi tuishi tutakavyo kwa kumpendeza Mungu
Haya majungu na kutakiana mabaya hayatusaidii kamwe

Kwanini uombee kampuni ya mtu ife badala ya kumuombea afaidike zaidi ili watu na familia zao zipate ajira?
Lake ikifa unajua familia ngapi huumia?

Mi nawapenda matajiri wote na sina tatizo nao
 
Wabongo ni shida sana sisi tunapga trip hatukai nyumbani na gari za Lake oil tatzo mmekariri hiz gar zinazunguka east and central africa kaz kama kawa Gar ukiona yadi ujue n service ila gar kama kawaida n kaz mpka unatamani urudishe gar uombe likizo oda zimekua za kutosha mpaka inabid aombe gari kwa baba ake edha awadh.
 
Sisi Watanzania tuna wivu sana
Kiufupi hatupendi mtu aendelee zaidi yetu
Hata raisi wetu hapendi watu waendelee ndio maana anataka watu waishi kama shetani

Tufanyeni kazi tuishi tutakavyo kwa kumpendeza Mungu
Haya majungu na kutakiana mabaya hayatusaidii kamwe

Kwanini uombee kampuni ya mtu ife badala ya kumuombea afaidike zaidi ili watu na familia zao zipate ajira?
Lake ikifa unajua familia ngapi huumia?

Mi nawapenda matajiri wote na sina tatizo nao

Mtoa post hajielewi anasema Lake oil kuna watu kama wakina Asas wana gari kama 500+ watu kama famari 300+ kuna ak transport nae kama 300 hiv na kuna kampun kibao wana gar kibao acha af anasema Lake oil mbona mchumba sana kuna Usangu Logistics ana Gari mpaka Kerooo hata 700 zinafika.. Tz zambia kongo na sauz africa.
 
Back
Top Bottom