Yako wapi magari ya Lake Oil?

Yako wapi magari ya Lake Oil?

Acha maneno gari hizi zipo na kaz tunapga kama kawa ila bei ya dizel inatukata sana na sasa tuna oda ya dalbit kupeleka zambia karibu miezi 6 mfululizo ikifika dar gari n kupakia na kusepa
12838436affba16c7832dbf4236172bc.jpg
689110c1967fb4ea986cd2fec640b45a.jpg

Mnyama huyo R470 hyo chuma weka na basi af naitanguliza mbele ila hafiki mbali ashaptwa 470Horsepower Ilitokea sauz mwaka jana ziliingia kama 100 hyo ngao mbele karibia milion 4 ya kibongo we endleza maneno.
Pichanya Juu hapo Lusaka hyo
Bado unapenda ligi! Kuna Volvo FH Siries 400HP Sleeper hii unasongelea? Nakutanguliza kilomita 20
 
Waungwana,

Mwaka jana tulikuwa tunaona magari makubwa ya mafuta yenye chata ya Lake Oil, ila kipindi cha mwisho wa kampeini za uchaguzi magari hayo hayakuonekana barabarani tena hadi sasa.

Hivi kilitokea kitu gani kwa hayo magari, na je! Mmiliki wa magari hayo alikuwa nani? Kama anajulikana hana harufu ya watumbuliwaji?
Mara ya mwisho niliyakuta zaidi ya 70 kiteto, ilikuwa mwaka jana. Nadhani watakuwa wameuza kampuni maana hawaonekani kabisa. Mafuta yao yalikuwa ya bei ya chini sana kuliko shell zingine
 
Kama kuna kaukweli hivi,,,,,,,,ngoja tusubiri baada ya muda tutakuta utepe mwekundu kwenye filling station zao
 
Mara ya mwisho niliyakuta zaidi ya 70 kiteto, ilikuwa mwaka jana. Nadhani watakuwa wameuza kampuni maana hawaonekani kabisa. Mafuta yao yalikuwa ya bei ya chini sana kuliko shell zingine

Wabongo ni shida sana sisi tunapga trip hatukai nyumbani na gari za Lake oil tatzo mmekariri hiz gar zinazunguka east and central africa kaz kama kawa Gar ukiona yadi ujue n service ila gar kama kawaida n kaz mpka unatamani urudishe gar uombe likizo oda zimekua za kutosha mpaka inabid aombe gari kwa baba ake edha awadh.
 
Waungwana,

Mwaka jana tulikuwa tunaona magari makubwa ya mafuta yenye chata ya Lake Oil, ila kipindi cha mwisho wa kampeini za uchaguzi magari hayo hayakuonekana barabarani tena hadi sasa.

Hivi kilitokea kitu gani kwa hayo magari, na je! Mmiliki wa magari hayo alikuwa nani? Kama anajulikana hana harufu ya watumbuliwaji?
Yapo barabarani kwenye Highways kama kawaida. Tatizo ni kuwa hayafiki kijijini.
 
Wabongo ni shida sana sisi tunapga trip hatukai nyumbani na gari za Lake oil tatzo mmekariri hiz gar zinazunguka east and central africa kaz kama kawa Gar ukiona yadi ujue n service ila gar kama kawaida n kaz mpka unatamani urudishe gar uombe likizo oda zimekua za kutosha mpaka inabid aombe gari kwa baba ake edha awadh.
Waambie.
Yapo barabarani kwenye Highways kama kawaida.
Tatizo ni kuwa hayafiki kijijini kwao.
 
Yupo na anazidi kujutanua hapa kafungua company nyingine na kakaake anaita Mek one oil na Sudan kusini kafungua stations 80 na pia huko Zambia ndio balaaa
 
Mara ya mwisho niliyakuta zaidi ya 70 kiteto, ilikuwa mwaka jana. Nadhani watakuwa wameuza kampuni maana hawaonekani kabisa. Mafuta yao yalikuwa ya bei ya chini sana kuliko shell zingine
afadhali umesema na umeeleweka
 
Yupo na anazidi kujutanua hapa kafungua company nyingine na kakaake anaita Mek one oil na Sudan kusini kafungua stations 80 na pia huko Zambia ndio balaaa
Wawafuate na huko wakawatumbue. Pepo za Kusi zinayumbisha matajiri, ambao nao huamua kuhamia kwenye faida. sisi tumekalia kelele tu.
 
Acha maneno gari hizi zipo na kaz tunapga kama kawa ila bei ya dizel inatukata sana na sasa tuna oda ya dalbit kupeleka zambia karibu miezi 6 mfululizo ikifika dar gari n kupakia na kusepa
12838436affba16c7832dbf4236172bc.jpg
689110c1967fb4ea986cd2fec640b45a.jpg

Mnyama huyo R470 hyo chuma weka na basi af naitanguliza mbele ila hafiki mbali ashaptwa 470Horsepower Ilitokea sauz mwaka jana ziliingia kama 100 hyo ngao mbele karibia milion 4 ya kibongo we endleza maneno.
Pichanya Juu hapo Lusaka hyo
Msalimie Mangoma Kiongozi. Mwambie tume-mmic Central Corridor
 
Yupo na anazidi kujutanua hapa kafungua company nyingine na kakaake anaita Mek one oil na Sudan kusini kafungua stations 80 na pia huko Zambia ndio balaaa

Hahhahah hawa jamaaa n noma aisee pesa ipo Mzee wao katulia edha awadh yeye na copper tu af dada yao azania kaona atulie kwenye mambo ya misosi sie wabongo wacha tuendlee kupiga domo tu.
 
Wabongo wao wanapenda majungu na kila mtu awe maskini kama wao hahhahah na ndio maana magu wao kawajua Tabia zao basi anazidi kuwamaliza na kauli zake
Hahhahah hawa jamaaa n noma aisee pesa ipo Mzee wao katulia edha awadh yeye na copper tu af dada yao azania kaona atulie kwenye mambo ya misosi sie wabongo wacha tuendlee kupiga domo tu.
 
Mleta mada nadhani umeshapata majibu,
Kampuni ya Lake Oil ipo na inapiga kazi kama kawaida.

So Relax mkuu.
 
Unakuta mtu kwa dar anakaa kigogo au mbez beach kule utayaona wap na saa ngap hasa hiz transit labda nendeni mkatege ubungo mtakuta oda za dalbit mpela mpela kwenda zambia

Teh teh teh, umenichekesha, eti wakatege ubungo,
Nimeimagine walivyosimama barabarani kuzisubiri.
 
Mleta mada nadhani umeshapata majibu,
Kampuni ya Lake Oil ipo na inapiga kazi kama kawaida.

So Relax mkuu.
Unafikiri tatizo lake ni kuona kuwa Lake inapeta? la hasha.
Yeye kinachomsunbua ni wivu, alitaka kusikia kuwa Lake is no more.
Hapo saa hizi roho inamuuma kwa Kusikia Lake Oil bado wapo Imara.
 
Back
Top Bottom