Yako wapi magari ya Lake Oil?

Yako wapi magari ya Lake Oil?

Magari ya lake oil yapo mengi sana mwisho jana nimeyaona kibaha na yanazidi kuongezeka tena sasa hv anatoa brand new si mtumba kama.zaman na ameongeza miradi gulfpremix lake gas na vituo vyao vinaongezeka jana usiki kituo cha lake oil sony lushoto kimevamiwa na majambazi
 
Hii walikupotosha mkuu. Siyo kweli!
ALAFU NASIKIA VITUO VYAKE VYA MAFUTA MAUZO WALIKUWA HAWAPELEKI HELA BENK, KULIKUWA NA MAGALI LAND CRUICER NDO YALIKUWA YANAPITA NA KUKUSANYA PESA ..
 
Ukweli ni kua magari bado yapo, na mjini hapa utayaona mengi ya Gulf Concrete, achilia mbali za mafuta utakazokutana nazo njiani kama waenda Mbeya na nyingi zikipeleka mafuta Kongo.

Kampuni ni ya dogo mmoja ambae umri wake kwasasa ni kama 35-36 yrs, anaitwa Alii na ni mtanzania mwenye asili ya kiarabu. Ofisi yake ipo pande za mikocheni hapo.

Sidhani kama kampuni yake ina tatizo na serikali japo jamaa ni jeuri na mbabe sana, ofisin kwake akiwa anaingia wafanyakazi wote hukaa kimya kama chura wa snura akimwagiwa Maji ya moto !
 
nimekusoma
 
Msikae mkaangalia maneno ya kijiweni home shopping yupo vizur sana ana company ingine inaitwa GSM na wanajenga kiwanda cha cement mkoa wa tanga na kuhusu lake oil accused ameongea ukweli mtupu mmilikia ni kijana tu na jina ni ally na kweli ni mbabe na ana ofisi mikocheni na kigamboni na magar yake yapo mengi tu na kuna baadhi ya wafanyakazi wake wa zaman anawagaia magari makubwa ya mafuta wale aloanza nao kama vile zawad ya kufamya kazi kwa bidiii
 
Watakuwa wamebadilisha biashara...biashara ya mafuta siku hizi hailipi baada ya zile mita kufumaniwa!!
Bosi acha stori za vijiweni,pamoja na EWURA hii ni biashara stable sana yenye faida ya kiwango/supernormal.
Ukitaka biashara bila stress fanya hii biashara.
 
Acha maneno gari hizi zipo na kaz tunapga kama kawa ila bei ya dizel inatukata sana na sasa tuna oda ya dalbit kupeleka zambia karibu miezi 6 mfululizo ikifika dar gari n kupakia na kusepa
12838436affba16c7832dbf4236172bc.jpg
689110c1967fb4ea986cd2fec640b45a.jpg

Mnyama huyo R470 hyo chuma weka na basi af naitanguliza mbele ila hafiki mbali ashaptwa 470Horsepower Ilitokea sauz mwaka jana ziliingia kama 100 hyo ngao mbele karibia milion 4 ya kibongo we endleza maneno.
Pichanya Juu hapo Lusaka hyo
 
Umaskini tuliorithishwa na viongozi wetu ndio uliotusababisha tukose elimu na kukosa elimu kumesababisha tuwe malofa wakutupwa sitaamini kiongozi yyte wa nchi hii wanatutesa alafu wanatuambia tumekamata dah kweli elim elim elim
 
Acha maneno gari hizi zipo na kaz tunapga kama kawa ila bei ya dizel inatukata sana na sasa tuna oda ya dalbit kupeleka zambia karibu miezi 6 mfululizo ikifika dar gari n kupakia na kusepa
12838436affba16c7832dbf4236172bc.jpg
689110c1967fb4ea986cd2fec640b45a.jpg

Mnyama huyo R470 hyo chuma weka na basi af naitanguliza mbele ila hafiki mbali ashaptwa 470Horsepower Ilitokea sauz mwaka jana ziliingia kama 100 hyo ngao mbele karibia milion 4 ya kibongo we endleza maneno.
Pichanya Juu hapo Lusaka hyo
Bwana dreva una miaka mingapi hapo lake? Naona unatokwa povu
 
Yapo Yard yanasubiri flow meter, within 24,four,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,malizia,,,,,,,
 
tulicho mfanyia hatakaa asahau huyo bosi wao,derevawake alimgonga bodaboda alafu hakusimama baadae akakimbilia ofisini,tukamkuta huyo jamaa analindwa balaa ila tulimkalisha na bodaboda akapata stahiki zake
 
Back
Top Bottom