Yajue yote kuhusu mradi wa Blue Beam

Yajue yote kuhusu mradi wa Blue Beam

IMG_20180506_222353_812.JPG
quote hiyo maada kwa ufupi nikufafanulie au taja jina lake
 
zitto junior nimemtag tayar labda mzee wa torano ngoja nimchek
pia leta mzigo kama upo tujifunze
Aseee uzi umeshiba ingawa bado sijausoma wote ila hii habari nmewahi isikia nyuma kidogo baada ya video moja kutoka kwenye television ya china kuonyesha live feed ya JIJI KUBWA KMA NEWYORK kuonekana mawinguni kwa takribani lisaa lizima na ilileta sintofahamu kwa raia..... Ndio nikaiskia wataalam wanasema huenda ni matokeo ya experiment za Project blue beam ila sikuwahi isoma kwa ndani sana ila kwa courtesy ya JF intelligence nmeweza kupata fursa ya kujifunza kwa undani zaidi ntaipitia alafu ntakuja na maswali kidogo/maoni

Barikiwa

Video hii hapa
 
Aseee uzi umeshiba ingawa bado sijausoma wote ila hii habari nmewahi isikia nyuma kidogo baada ya video moja kutoka kwenye television ya china kuonyesha live feed ya JIJI KUBWA KMA NEWYORK kuonekana mawinguni kwa takribani lisaa lizima na ilileta sintofahamu kwa raia..... Ndio nikaiskia wataalam wanasema huenda ni matokeo ya experiment za Project blue beam ila sikuwahi isoma kwa ndani sana ila kwa courtesy ya JF intelligence nmeweza kupata fursa ya kujifunza kwa undani zaidi ntaipitia alafu ntakuja na maswali kidogo/maoni

Barikiwa
pamoja kiongozi nitajibu ninayoweza mengine wanajamvi watachangia
 
zitto junior nimemtag tayar labda mzee wa torano ngoja nimchek
pia leta mzigo kama upo tujifunze
karibu kiongozi uzi huo
Aseee uzi umeshiba ingawa bado sijausoma wote ila hii habari nmewahi isikia nyuma kidogo baada ya video moja kutoka kwenye television ya china kuonyesha live feed ya JIJI KUBWA KMA NEWYORK kuonekana mawinguni kwa takribani lisaa lizima na ilileta sintofahamu kwa raia..... Ndio nikaiskia wataalam wanasema huenda ni matokeo ya experiment za Project blue beam ila sikuwahi isoma kwa ndani sana ila kwa courtesy ya JF intelligence nmeweza kupata fursa ya kujifunza kwa undani zaidi ntaipitia alafu ntakuja na maswali kidogo/maoni

Barikiwa

Video hii hapa
Mkuu @,Francis3 umeleta kitu kizuri sana na ulivyoelezea ni vile vile ambavyo nilikua nimesikia khs hii Project Blue beam pamoja na CERN project

Wazungu wanania mbaya na hii dunia lkn ,Mungu muweza watashindwa
 
asante mkuu. Kwanini katika andiko lako linamuonesha kiongozi mstaafu wa marekani na Mkuu wa Kanisa moja (ambalo kwa hakika lina discourage mafundisho ya ufunuo na kitabu cha Daniel?)
je wanaweza kuwa wanahusika moja kwa moja au nyuma ya pazia kwenye mipango hii?

Otorong'ong'o Masanja na
nakala kwamzee wa mitagusa mitale na midimu .
Kwanini akili zenu mnapenda kuziweka kwenye ch.upi...?? Zitoeni huko zipàte upepo...

Nikikusoma kwa jicho la 3D huyo Kiongozi wa Kanisa ni Pope....means kanisa unaloliongelea ni Moja Takatifu Katoliki la Mitume...


Sasa hebu jiulize....! Kanisa hilo limetengeneza hiyo Biblia,likaamua kitabu kipi kiwepo kwenye biblia na kipi kisiwepo....Pamoja na hicho cha Apokalpse ya Daniel na John....hivi kweli inakuingia akili..chakula nikipike mimi halafu nishindwe kula..


Kuwa serious kidogo
 
Hapo ktk masiah feki ,ndio patamu zaidi maana ukiingia deep unakutana na majina km Pindar, semhaja ,na wengineo
Cc@Eiyer ,Francis3 zitto junior
Hii dhana ya kumleta masihi feki kupitia hii project iaweza kuwa na ukweli maana kuna kitabu nmesoma nyuma kidogo kinaitwa NEW AGE MOVEMENT cha Roy livesey kimeandikwa miongo kadhaa iliopita na kiliongelea kuwa huu ni mmoja wa mpango wao hawa secret societes ndio sahivi nasoma hii thread naanza unganisha dots na utabiri wa kitabu kile cha miaka ya 80!!!! Dah ina maana ilishapangwa miaka mingi huko nyuma sahivi ni utekelezaji duh hii dunia kuna mengi ya kushangaza na kutisha
 
Kwakweli huku jamiiforum kuna mambo hivi kuna ukweli kuhusu huu Uzi? Mim mgeni humu lakini umenitisha isitoshe maswali niliyoyaona kwenye huu Uzi yanaogopeka sana

Hivi [HASHTAG]#francis3[/HASHTAG] ni nani huyu na anajua vipi hizo project za siri nakuomba mkuu utuaminishe
 
MASWALI TUNAYOPASWA KUJIULIZA​

• kama Kuna 24hrs kabla ya alien kuja. Utafanya nini?
• Je, kuna ushahidi wowote wa kuwepo kwa maisha ya alien nje ya dunia?
• Je, mwisho wa ulimwengu ni lini je blue beam project itakamilika lini?
• Je, UFO na alien hivi vitu vipo? Je, mtu yeyote amewaona alien? Je! Una ushahidi wowote?
• Nini kitatokea wakati alien watakuja duniani?
• Kuna uwezekano wowote kwamba alien pia wanaishi duniani kama wanadamu?
• Inawezekana kwamba alien ni watu tu wa baadaye?
• kuna wezekano gani kuwa alien wametembelea Dunia?
• What is the probability that extraterrestrial intelligence exists?
• Je, NASA inafunua ushahidi wa maisha ya alien wenye akili?
• Mradi wa sayari ya bluu (blue planet) ni nini? Je! Ni kweli?
• Je, NASA inakiri au kudanganya kwamba hawana mawasiliano na alien?
• Watu wa NASA wanafikiri nini kuhusu wasomi wa kale wa alien?
• Nini mradi mkubwa wa NASA?
• Ni miradi ipi NASA inayofanyia kazi sasa?
• Kwa nini NASA hadi sasa haipati mabaki ya alien kwenye solar system?
• Je, NASA iko tayari kukabiliana na uvamizi wa space alien?
• Je, Mradi wa Kuunganisha Binadamu unaweza kuwa ufunguo wa kutokufa?
• Je, Mradi wa blue brain utafanya kazi?
• Mafanikio ya hivi karibuni ya Mradi wa Blue beam au blue brain ni nini?
• Tunawezaje kutumia ubongo wetu 100% ili kuelewa kuhusu mambo yaliyo nje ya mizazi ya dunia?
• Tunawezaje kuwa na imani katika Yesu kuja tena?
• blue beam project watatengeneza vipi earthquake?
• blue beam project itamleta vipi mungu fake?
•je kuna uhusiano kati ya blue beam project na illuminant?

JIBU MASWALI UNAYOYAWEZA NI VIZURI UKAELEZEA IN DETAIL​
Haya maswali yakijibiwa utanijulishaaa
 
Moja kwa moja nataka nilete hii mada tupate kujuzana zaidi kuhusu dunia hii ya sasa wapi inakwenda. Kuna wingi wa conspiracy theories ambazo zilikuja kuwa ni za ukweli kama Project MKUltra : CIA Mind Control Program na Elite want to reduce the global population, so sio kila kitu ni cha kuacha kukifatilia once kikiwa na mitazamo tofauti. Katika hili naloleta laweza likaja kuwa kweli au la hivyo tuanze kulizungumzia.


Kabla sijaanza na project blue beam, nirudi nyuma kwenye miaka ya 1970 ambapo kuna maelezo ambayo yana link project blue beam na cern.

Kuna ushahidi wa Dr. Carol Rosin alioutoa miaka ya 2000 kipind yeye akiwa anafanya kaz kama "space and defense consultant" katika mwaka 1974 mpaka 1977. Alifanya kazi na Wernher Von Braun ambae ndie aliyempa maelezo abayo yeye (Dr. Rosin) alikuja kuyatoa baadae kama ushahid wake kwa vitu vinavofanyika nyuma ya pazia.

Braun alikuwa mwanasayansi mjerumani aliyekuwa anafanya kazi marekani ambapo alikuwa nafanya kazi inayohusiana na uwazishwaji wa "space - based weapons". Katika kipind chake cha kuumwa cancer alipata kuongea na Dr. Rosin kuhusu strategies inayofanywa na elite kupitia serikali kubwa dunian kufanikisha uwazishwaji wa "space - based weapons". kufanikisha hivyo ilitengenezwa mkakati wa kuweka au kujenga hofu duniani, "scare tactics" ambazo zitafatwa ili yatimie malengo yao. Dhumuni la mkakati huo ni jinsi ya kumtambua adui na hatua gani zifatwe ili kumdhibiti adui huyo (adui ni mleta hofu/woga katika jamii za watu) Hivyo maadui waliotengenezwa au hatua ambazo zitafatwa kufanikisha jambo lao ni:
· Cold war
· Terrorism
· Countries of concern (third world countries)
· Asteroids, na
· Alien Invasion
Itaanza vita baridi kati ya USA na Russia, itafata Ugaidi ambao tunauona mpaka sasa, itafata africa (hapa sijafahamu tuta contribute vipi katika plan yao ya uwazishwaji wa "Space - based weapons"), itafata mawe au vimondo kushuka duniani (source: Asteroid size of Statue of Liberty to hit Earth | World | News | Daily Express)na mwisho ni alien invasion. Ambapo haya yote unayasikia. Shida ni kwamba hiyo "Space - based weapons" sio dhidi ya mawe yanayokuja kutoka outer space ili tuyalipue kabla hayakajika duniani, au kuzua invasion yoyote ya extraterrestrial beings wowote ambao wata onyesha ku threat dunia, ila hiyo project ni dhidi ya watu wa dunia hii ili ku-control population. Hii itapelekea katika uwazishwaji wa New World Order
[Dr. Rosin anaamini kuwa aliens wapo na walishakuja ku visit earth lakini hawajawahi ku-threat the earth peace, pia kuna maelezo ambayo alitoa Rais wa marekani Ronald Reagan alizungumzia kuhusu watu wa kabila zote tupate kuwa pamoja tuache tofauti zatu dhidi ya alien threat kama ikitokea]
source:
· Dr. Carol Rosin: The Illuminist’s Progression of Hoaxes: ‘Terrorism, Rogue Nations, Asteriods And The Last Card Will Be The Extra-Terrestrial Threat!’
·

Sasa katika kufanikisha kuleta NWO Project Blue Beam na CERN zitahusika. Ukianzia katika ushahid wa Dr. Rosin unakuta baadhi ya maadui washagundulika na washafanyiwa na wanafanyiwa kazi, kama vita baridi na Ugaidi. Ila tukizungumzia kuhusu Asteroids na Alien Invasion ni lazima technology itumike, ndipo Project Blue Beam inatumika.

Project Blue Beam
According to Wikipedia "Project Blue Beam is a conspiracy theory that claims that NASA is attempting a New Age religion with the Antichrist at its head and start a New World Order, via a technologically-simulated second coming."

Ni top secret operation ya NASA kufanikisha kuleta ONE World religion. kama wikipedia inavosema na vyanzo vyengine inaaminika kwamba NASA wana plan wa Kuleta Ujio wa wa pili wa Messiah, ili kufanikisha hivyo lazima watatumia hologram display katika anga na ku onyesha ujio wa Messiah. Hii itawezekana maana kuwatumia vifaa vyao vyenye technology ya juu pia zilizopo nje ya anga na ndani ya anga kuonyesha ujio wa Messiah.

Anga ya sasa ni tayari a LCD screen maana tayari washaweka na wanaendelea kuweka compounds ambazo zinapatikana katika chemitrails zinazotolewa na ndege (airplanes). Pia kupitia HAARP (High Frequency Active Auroral Research Program) ambayo ni "weather weapon" inauwezo wa ku twist hali ya hewa. [hii nitaielezea kwa threads za mbeleni, ni ndefu kidogo]. Hivyo Project Blue Beam plus HAARP hii event ya ujio wa messiah itaonekana real event.

Kwa sasa Project Blue Beam tests zake ni za UFO sightings ambazo zinazidi kuongezeka. Hologram display technology imefanika sehemu nyingi kama majaribio au for entertainment kama



· hologram display ya Prince Charles wa uingereza alivotokea katika mkutano uliofanyika Abhu Dhabi
· 2pac aki perform live concert katika coachella music festival in 2012 ( )
· Kipindi Rais Obama anapewa tuzo ya Noble Prize nchini Norway mwaka 2009, spiral ilitokea angani usiku huo na kutengeneza black hole
· Mwanga wenye umbo la Bikra Maria (kama tulivoseshwa kumuona katika picha na statue) alioneka Ivory Coast April 2011 ( )
kwa kufahamu zaidi kuhusu step nne watakazo fanya ili kufanikisha agenda yao please pitia hapa: Project Blue Beam | NEW WORLD ORDER PLAN

Hivyo katka kutimiza YOTE hayo ndipo unakutana na CERN ambayo ina marefu yake kuielezea.
 
Back
Top Bottom