Kipo adi cha elf 7,wewe tuKuna gharama zinakwepeka kwa kuishi maisha yanayofanana na wewe,mfano ujenzi: umetoa mfano wa kitasa cha sh 70,0000. lakini kuna kitasa cha sh 30,000.kinaweza kudumu hata miaka10 .
Kipo adi cha elf 7,wewe tuKuna gharama zinakwepeka kwa kuishi maisha yanayofanana na wewe,mfano ujenzi: umetoa mfano wa kitasa cha sh 70,0000. lakini kuna kitasa cha sh 30,000.kinaweza kudumu hata miaka10 .
Achana na kitasa cha 30,000.., kunakomeo la buku tano na kufuli la buku nne, usingizi muruwa kabisaKuna gharama zinakwepeka kwa kuishi maisha yanayofanana na wewe,mfano ujenzi: umetoa mfano wa kitasa cha sh 70,0000. lakini kuna kitasa cha sh 30,000.kinaweza kudumu hata miaka10 .
Kwani kitasa cha laki moja ndio kitamzuia mwizi. Haya maisha ndio maana hayanipagi tabu sana coz wakati mtu anahisi hilo Jambo gumu mwingine analiona jepeeesi.hii ni sawa kabisa na kufunga nyumba na kufuli ya elfu 6,ndani kuna tv ya laki 8.
kitasa cha elfu 30 ni kizuri ila labda milango ya ndani huko,nje pale gate kuu lazima ukaze matako,no way.
Habari...
Kumradhi, ninaandika kwa kifupi sana
Kuna mambo mengi yanayomaliza pesa katika maisha haya ila manne kati yao ni kiboko. Mbaya zaidi ni kwamba mtu hawezi kuyakwepa
1.Ujenzi
Achilia mbali nyumba, Kitasa cha mlango tu elfu sabini! Fikiria kuhusu mlango wenyewe.
)
👆Hela ya Kesi huwa inauma sanaKesi
Nashangaa mapenzi hayajatajwa wakati nayo yanakula bando vibaya sana5. Mapenzi
😁😁😁Achana na kitasa cha 30,000.., kunakomeo la buku tano na kufuli la buku nne, usingizi muruwa kabisa
Kinga sasa haziaminiki ni vema kupima.Kama una mzingo ingia kituo cha Afya nenda maabara mpoze jamaa anawapima mnatoka kiroho Safi.Hiyo mikondom imekaa Sana dukani inaweza pasuka au wale jamaa wa utamu ukizidi wanavua au wale wakipewa mzigo Mara mbili anavaa ndom ya tatu kamzoea anapiga kavu.Maradgi yanaepukika mfano ukimwi.. una sex na watu wengi bila kinga ni una hatari ya kupata kuliko mama mchungaji .. ama kisukari unakura vyakula vibaya na hufanyi mazoezi..
Health lifestyle ni kula vizuri balance diet na mazoez
Uko mbali sana,Kuna gharama zinakwepeka kwa kuishi maisha yanayofanana na wewe,mfano ujenzi: umetoa mfano wa kitasa cha sh 70,0000. lakini kuna kitasa cha sh 30,000.kinaweza kudumu hata miaka10 .
KabisaPesa inamalizika kwenye matumizi yanayojirudia kila siku, hayo uliyoyaandika yanatumika kimazoea tu ili kufarijiana.
1Chakula
2Umeme/Nishati
3Maji
4Mafuta/Usafiri/Nauli
5Kuhonga
6 Vilevi/Pombe/Unga/Casino.
7Mavazi/Malazi
8Watoto
9Wakwe
10Wazazi/Ndugu/ Wategemezi.
Mi naona kila kitu ni gharama kinamaliza pesa tu had ubahili nao ni gharama vilevile Dah bora hicho kitasa cha 70k ukikiweka mlangoni kitakusaidia na utaendelea kuonaona pesa yako imefanya kaz gani jinsi navyo jibana natafuta pesa najifanyia ubahili bila kufanya starehe juz kat hapa nmepoteza 80k sijui hata imedondoka au nmeibiwa alaf kla siku usiku nakula wali maharage bora hata ningechoma zangu kuku maana haijanisaidia kitu
Acha TU,Hela ya Kesi huwa inauma sana
hapo wengi wanapakwepa.5. Mapenzi
Kesi za Tanzania inaweza kwenda mpaka Miaka kumi Hakimu anakula mpunga wako halafu unasikia kahamishwa Mkoa mwingine anakuja Hakimu mpya na mnaanza mwanzo kupanga dau jipya🙁Acha TU,
Ukute ndio unashtakiwa, joto litapanda.
Ukiwa unashtaki,
Gharama zikizidi unatelekeza kesi unaendelea na ishu zako.
Pesa inamalizika kwenye matumizi yanayojirudia kila siku, hayo uliyoyaandika yanatumika kimazoea tu ili kufarijiana.
1Chakula
2Umeme/Nishati
3Maji
4Mafuta/Usafiri/Nauli
5Kuhonga
6 Vilevi/Pombe/Unga/Casino.
7Mavazi/Malazi
8Watoto
9Wakwe
10Wazazi/Ndugu/ Wategemezi.
Pesa inamalizika kwenye matumizi yanayojirudia kila siku, hayo uliyoyaandika yanatumika kimazoea tu ili kufarijiana.
1Chakula
2Umeme/Nishati
3Maji
4Mafuta/Usafiri/Nauli
5Kuhonga
6 Vilevi/Pombe/Unga/Casino.
7Mavazi/Malazi
8Watoto
9Wakwe
10Wazazi/Ndugu/ Wategemezi.
Siku hizi hata hawavunji milango.. Wanapita madirishani!hii ni sawa kabisa na kufunga nyumba na kufuli ya elfu 6,ndani kuna tv ya laki 8.
kitasa cha elfu 30 ni kizuri ila labda milango ya ndani huko,nje pale gate kuu lazima ukaze matako,no way.